magazimoro
Member
- Apr 11, 2017
- 18
- 13
Mkuu katika hili ni Mungu pekee ndie mwenye msaada na ulinzi. Mzazi anaweza akajitahidi sana lakin mtoto ndio kwanza makuzi na groups chafu zinazidi kukomaa akilini mwake. Na ukifuatilia ule uzi vizuri utaona akiwa kidato cha kwanza tu kafundishwa mchezo kinyume na maumbile na mtu mzima ambae angeweza kuwa msaada kwa mtoto kama yule. Hawa viumbe wa kike wana changamoto sana ktk malezi yao.Nimejiuliza maswali mengi sana sijapata majibu. Hivi mzazi anakuwa wapi mpaka mtoto wake wa miaka tisa anaanza mapenzi?
Lakini pia huwezi kujua pengine alijifunza tabia hiyo toka kwa mzazi wake maana wazazi wa siku hizi nao hawaoni shida kufanya mapenzi ndani ya chumba kimoja na mtoto akiwemo usiku akifikiri mtoto amelala kumbe anasikilizia nini kinaendelea au mama anafanywa nini na huyu jamaa na kushuhudia kila kitu.