Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

Kivip mkuu..? Kama wewe una Bei chini ya hapo , weka mchanganuo wake hapa , waweza pata kandarasi kwa wadau.
IMG-20170522-WA0005.jpg

Mpaka finishing tunauza kwa millioni 15 tu.
 
View attachment 513060
Mpaka finishing tunauza kwa millioni 15 tu.
Wengine ndio wanatuaminisha hiyo bei uliyoweka ndio inatosha kupaua tu,eti fundi milioni 3,bati milioni 5,misumari sijui milioni 1.5 mbao milioni 4 sijui watu wengine wanacomment kwa hisia tu,kwa nyumba za watanzania wengi ambao tumechoka kupanga huwa tunavutiwa na nyumba size kama aliyopost hapo mdau na hiyo ndio inainspire watu kujenga sasa watakuja wakandarasi WA bei za ajabu,mafundi so mngekuwa mamilionea toka muanze kazi hizo kama bei zenu ndio juu hivyo.

Leteni makadirio ya standard house kama hiyo kwa picha.
 
Mkoa gani hii mdau? Halafu hebu saidia kudadavua kidogo gharama za paa mkuu nimevutiwa size hiyo ya nyumba niishushe mbezi msakuzi
Sitaki kuitumia platform hii kufanya promo maana hatuhitaji promo, njoo ofisini clock tower, Nkrumah streer ghorofa ya tatu ofisi za Viguta tutakusikiliza.
 
Aise safi kabisa, mwaka 2006 niliumbuka kwa kutokufanya mahesabu haya, maana hela ilikata huku mbao ziko juu, nilipoteza mbao karibu zote sababu sikujiandaa wala kufanya mahesabu kwanza, pata mahesabu kwa wajuzi jipime tekeleza mkuu..
 
Aise safi kabisa, mwaka 2006 niliumbuka kwa kutokufanya mahesabu haya, maana hela ilikata huku mbao ziko juu, nilipoteza mbao karibu zote sababu sikujiandaa wala kufanya mahesabu kwanza, pata mahesabu kwa wajuzi jipime tekeleza mkuu..
Pole sana mkuu, ila kupitia uzi huu utapata mwanga
wa nini cha kufanya ili usiludie makosa tena.
 
kupaua si gharama kiasi hicho kaka acha tamaa na kutisha watu labda gharama hizo ni kwa site za masaki na maeneo kama hayo au huko ni kutafuta faida za juu kabisa....hizo kazi tunafanya kila siku na bei ni za kawaida kabisa mf.. Nyumba ya vyumba 3 au 4 yenye vipimo standard itachukua mbao treated za hadi sh 1.5m, bati kama ni south around 3.5m na ufundi ni around 1-1.2m na tunafanya daily
Kweli mkuu umeongea point nzuri sana. Hizo garama zinategemea na maeneo na aina ya mteja mwenyewe. Tena kwa mikoani bei unakuta inakuwa hata pungufu ya hapo.
 
Kikubwa kwenye ujenzi tupende kutumia wataalamu. Mwisho WA Siku nI vema ukaangalia bajeti yako kabla ya kufanya maamuzi ya kujenga. Unakuta mtu a nasema anataka simple house....ukimuuliza kwa undani utakuta ni nyumba ya pesa nyingi sana.
 
Njia nzuri ya kujua gharama ya upauaji..ni roof plan yako..aina ya kigae au bati..hivo vitakupa muongozo..mengine ni makisio tu.
 
Njia nzuri ya kujua gharama ya upauaji..ni roof plan yako..aina ya kigae au bati..hivo vitakupa muongozo..mengine ni makisio tu.

Lakini Mkuu si unajua wengi TZ tunavyojenga.....kibongo kibongo....very sad lakini ndo hali halisi. I wish watu tuamke tuone umuhimu wa Architects, QS nk. Itasaidia wengi. Ingawa ni rahisi kulaumu kwamba fee ya hawa jamaa ni kubwa but ultimately hawakwepeki! Hata kama nyumba ni two bedrooms, naamini ukishirikisha wataalam hutakosa moja au mawili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom