Duh,,ndugu zanguni yule mkuu alieimba wachumba telathini
ameamua kukatiza maish yake kwa sabababu ambazo mpaka sasa
aijajulikana,,,ndugu walipoulizwa walidaai aliwaambia alikuwa na matatizo ,na aliathirika,,hapa kidogo tumeshindwa kuelewa...
habarizaiidi,,,soma uhuru ya leo..mungu amlaze...