Mchungaji Rwakatare Aachia Ngazi

Status
Not open for further replies.

MAFISH

Member
Feb 7, 2008
39
1
Kwa Wale Wote Wakristo na Wacha Mungu Hali Kadhalika Ndugu Zetu Wadini Nyingine Hii Ni Habari ya huzuni Kama Si Kukatisha Tamaa,,\habari Hii Nimesoma Kwenye Gazeti La Mtanzania La Leo

Mheshimiwa Mchungaji, mtumishi Wa Mungu Dkt. Getrude Rwakatare Ameamua Kuachiangazi Na Cheo Chake Cha Uchungaji Na Kuamua Kujikita Zaidi Katika Siasa Kutimiza Yale Maneno Makuu Ya Biblia Ya Kaisari Mwachie Kaisari Ya Mungu Mpe Mungu,

Hili ni Jambo La Kusikitisha katika Kuamini Hili Mkuu Wa Kanisa La Assemblies Of God Amekiri Kupokea Barua Ya Mama Rwaktare Na Kusema Ameamua Kuwarudishia Kanisa Mikononi Mwao neema ya Mwenyezi Mungu Ituongoze Kwa Hili. Hapa Ndipo Ntakapoataka Kuangalia Wale Watumishiw Aliokuwa Pale Kwa Ajili Yule Mama Na Wale Waliokuwepo Kwa Ajili Ya Mungu,

wana Jf Shusheni Nukuu Zenu
 
Masikini Mama Mchungaji Kam Kweli Yalioandikwa Gazetini Hizi Lawama Sijui Utazipelaka Wapi,,,aiwezekani Ukapata Ubunge Ukasema Ya 9988 Tumwachie Kaisari ...mhhhh Tunasubiri Kwa Hamu
 
Kwa Wale Wote Wakristo Na Wacha Mungu Hali Kadhalika Ndugu Zetu Wadini Nyingine Hii Ni Habari Ya Uzuni Kama Si Kukatisha Tamaa,,\habari Hii Nimesoma Kwenye Gazeti La Mtanzania La Leo
Mheshimiwa Mchungaji,mtumishi Wa Mungu Dk Getrude Rwakatare Ameamua Kuachiangazi Na Cheo Chake Cha Uchungaji Na Kuamua Kujikita Zaidi Katika Siasa Kutimiza Yale Maneno Makuu Ya Biblia Ya Kaisari Mwachie Kaisari Ya Mungu Mpe Mungu,,,hili Ni Jambo La Kusikitisha,,katika Kuamini Hili Mkuu Wa Kanisa La Assemblies Of God Amekiri Kupokea Barua Ya Mama Rwaktare Na Kusema Ameamua Kuwarudishia Kanisa Mikononi Mwao,,,,neemaya Mwenyezi Mungu Ituongoze Kwa Hili...haa Ndipo Ntakapoataka Kuangalia Wale Watumishiw Aliokuwa Pale Kwa Ajili Yule Mama Na Wale Waliokuwepo Kwa Ajili Ya Mungu,,,,wana Jf Shusheni Nukuu Zenu

Ameahidiwa uwaziri nini !!!!!!!!!!!
 
Ameahidiwa uwaziri nini !!!!!!!!!!!

tena uwaziri wa elimu.
mnakumbuka ktk moja ya statement yake wiki zilizopita alisema kuwa ameamua kurejesha joho kutokana na majukumu atakayopewa na Muungwana?
haya ngoma bado lele...
 
Mh, haya madaraka sasa yatatufikisha pabaya mbona?

Au alikuwa akitumia kanisa kufunika mambo flani flani?

Mbona shughuli.
 
Kwa Wale Wote Wakristo Na Wacha Mungu Hali Kadhalika Ndugu Zetu Wadini Nyingine Hii Ni Habari Ya Uzuni Kama Si Kukatisha Tamaa,,\habari Hii Nimesoma Kwenye Gazeti La Mtanzania La Leo
Mheshimiwa Mchungaji,mtumishi Wa Mungu Dk Getrude Rwakatare Ameamua Kuachiangazi Na Cheo Chake Cha Uchungaji Na Kuamua Kujikita Zaidi Katika Siasa Kutimiza Yale Maneno Makuu Ya Biblia Ya Kaisari Mwachie Kaisari Ya Mungu Mpe Mungu,,,hili Ni Jambo La Kusikitisha,,katika Kuamini Hili Mkuu Wa Kanisa La Assemblies Of God Amekiri Kupokea Barua Ya Mama Rwaktare Na Kusema Ameamua Kuwarudishia Kanisa Mikononi Mwao,,,,neemaya Mwenyezi Mungu Ituongoze Kwa Hili...haa Ndipo Ntakapoataka Kuangalia Wale Watumishiw Aliokuwa Pale Kwa Ajili Yule Mama Na Wale Waliokuwepo Kwa Ajili Ya Mungu,,,,wana Jf Shusheni Nukuu Zenu

Jamani hii mbayaaaa?
 
Ya Kaisari matamu kuliko ya kanisani!

Ila mimi nina wasi2 ya imani ya kweli ya huyu mama.. mengi sana yamesemwa! Na haswa watoto wake walivyotumia unga sasa hivi!

She could be a power monger!
 
Kweli duniani kuna mambo! yaani amechagua dunia na kuuacha ufalme wa mbinguni?
 
Hivi baada ya mwaka 2010 kama akikosa Ubunge atarudi tena kwenye uchungaji? Je, ni sawa kuacha mbachao kwa msala upitao? Mie ni hayo tu!
 
Inasikitisha Sana Sasa Nimeamini Inawezekana Na Ile Story A Madawa Inawezekna Kweli,,,haya Vijana Dili Hiyo.

Leo Hii Asbh Taarifa Ya Habari Ya Channel Ten ilikuwa Ni Masikitiko Huyu Mkuu Wa TAG Mch Mwanisongole Ameonyesha Ile Barua Na Kusema Amemrudishi Na Kumwambia Aiandike Tena Ana Dhumuni Gani? Swala Hapa Namnukuu"""swala Si Kuchukua Tu Kanisa, kwanza Kanisa Hilo Alijawahi Kuwa Chini Yetu,

Nashangaa Hata Huyu Mama Kutuletea Barua Ambayo Atujui Lengo Lake""pili Makanisa Yetu Yote Yaliyochini Yetu Yanaitwa Tanzania Assemblies Of God, hili Ni Mikocheni A,g Linalojitegemea Namnukuu..kwanza Aandike Anaitaji Tumsaidie Kulihudumia Na Si Kulirudisha Alijawahi Kuwa Chini Yetu,,baada Ya Hapo Kuna Process Za Kulichunguza Kanisa Likoje ,,,lina Sifa Gani,,,uwezi Kupewa Kanisa Ukalichukua Kirahissi Hivyo namnukuuu.

Mwisho Wkaamnukuu Mama Akisema ""mimi Sijaliacha Kanisa Ntaendelea Na Siasa Na Kulihudumia Kanisa""shame Mama""sasa Ile Barua Ulipeleka Ya Nini Ulifikiri Watu Hawatajua Unakimbilia Pesa,,,,(mulo),,,ila Tunaakuasa Uwe Makini Hata Ukipewa Uwaziri Wewe Mhhh Unawauza Watum,,,
 
Jambo hili ni zito kidogo na si jepesi kama mnavyofikiri.Biblia inasema mtu hawezi kutumikia mabwana wawili ikwa na maana huwezi kujiweka chini ya mamlaka mbili halafu zote ukazitumikia ipasavyo. Kwa sababu unaweza kupewa ORDER na hawa mabwana kwa wakati mmoja ukashindwa umtumikie nani na kumwacha yupi.

Swala la Rwakatare ni hivi, mwanzo yeye alikuwa chini ya mamlaka ya Mungu hivyo kile alichoamliwa na Mungu kukifanya ndicho alichokipa kipaumbele.Na kwa sasa yuko chini ya Serikali na hii ni mamlaka nyingine hapa lazima achague moja.

Ikumbukwe katika Biblia hakuna mahali paliposema mtu asiache Uchungaji na kuwa kiongozi wa serikali. Na Biblia inasema viongozi wote wanawekwa na Mungu na kama hajamweka basi amemruhusu awepo. Huwezi jua labda angeendelea na Utumishi hata mbinguni asieenda kwa sababu anazozijua Mungu. Kama tamaa ya pesa ndo inampeleka unafikiri wenye tamaa wanaenda mbinguni.

Niwabmie ndugu zangu jambo hili kama limetoka kwa Mungu litadumu la sivyo hatafika mbali kisiasa.
Yapasa tumwombee maana pia tunapenda viongozi wacha Mungu
 
Haya tulijua yangetokea, na bado makubwa zaidi yaja! Watu wakiambiwa wajihadhari na hawa "wasanii" hawasikii! Huko Kenya kuna mwenzie anaitwa Margaret Wanjiru (weka tu hili jina kwenye google uone hizo taarifa zake!)
 
Haya tulijua yangetokea, na bado makubwa zaidi yaja! Watu wakiambiwa wajihadhari na hawa "wasanii" hawasikii! Huko Kenya kuna mwenzie anaitwa Margaret Wanjiru (weka tu hili jina kwenye google uone hizo taarifa zake!)

Watu wanadhani kila asemae YESU ni mtu wa mungu. Mama kaona pengine biashara ya kanisa hailipi haraka ndio akaamua ajaribu siasa!!! hata hivyo ameingia kipindi kibaya, bila shaka kama alitaka awe fisadi itabidi asubiri mpaka dharuba ipite kwanza.!!!
 
Kama tamaa ya pesa ndo inampeleka unafikiri wenye tamaa wanaenda mbinguni.

Niwabmie ndugu zangu jambo hili kama limetoka kwa Mungu litadumu la sivyo hatafika mbali kisiasa.Yapasa tumwombee maana pia tunapenda viongozi wacha Mungu-

Wajamani hamkuwa mnamchungulia ktk mahubiri yake? mara nyingi alisitiza kuwa mtu wa mungu lazma uwe nazo bwanaaaa!!! halafu wafuasi wanajibu HALELUYAAA!!!

Ucha mungu? hapana, huyu mama ni Fisadi tu!!! HUWA HAWAJIFICHI!!!
 
Litokalo kwa Mungu hudumu milele na litokalo kwa ibilisi halidumu. Mungu huwa na mawasiliano na mtu binafsi na inategemea Mama kama Mungu amesema naye kuhusu hili basi ajua Mungu. Lakini kama anaenda bila maelekezo ya Mungu kitakachotokea kitashangaza sana maana Mungu hataniwi na hana utani.

Kweli lile kanisa linaitwa Mikocheni B Assemblies of God na wala sa Tanzania Assemblies of God (TAG) ndiyo maana mkuu wa TAG amekana kuwepo chini yake.

Ushauri tu:

Neno la Mungu usilijengee msingi wake ktk mafanikio, mali, uponyaji, n.k bali weka msingi wake ktk kumjua Mungu. Nenda kanisani ukitaka kumsikia Mungu juu ya Ufalme wake na maisha ya milele. Upo mwisho wa dunia, ipo adhabu ya moto wa milele, yapo maisha ya milele, upo msamaha wa dhambi.
 
Huyu mama ana tamaa na Power ya Kaisari! Huenda siku moja ataipata! Anatafuta umaarufu!

Sii mnakumbuka pia Kakobe aliwahi kupiga debe kwa Mrema 2000 akasema Mrema ni chaguo la Mungu?

Alikosa ushauri- huwezi kutumika kwa Kaisari na kuona ni bora kuliko Unchungaji!

Anawakwaza sana kondoo wa Mungu!
 
mmmmmh, hii kali.

Ina maana kwenye siasa kuna dau kubwa zaidi au..........
 
Huo ulikuwa mtihani wa Mchungaji Rwakatare kutoka kwa Mungu. Mungu ndiye anayejuwa haifai sisi kumtolea jibu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom