Recent content by mafia boy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mauaji ndani ya msikiti wa Chumo

    Kwani ukiwepo msikitini shida iko wapi?kwani nchii hii ina mda wa kua sehem maalum kwa mda maa lumu?acha unafki na kushadadia mambo mabaya kwakua hayajakukuta... Wakimaliza kwetu wanakuja kwako....
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu anaumwa nyeti, nimeamua kumuacha

    Ungekua na festula ungeachwa ungemlaum mumeo au ungeenda temeke?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Picha hizi zimetengenezwa au ni ukweli,mimi naamini zinatengezwa.

    Betty low ni kweli kabisa huyo jamaa yupo Zanzibar ni teja maarufu sana...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

    Saumu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Kusoma Uganda Information technology

    Nenda uganga...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke malaya, nimfanyaje?

    Hivi unadhani ushauri gani unaoutaka wewe hapo?eti umemfukuza ila haondoki?haondoki kwako?au kwake? Naungana na anaesema umeolewa wewe...kama mnapoishi ni kwako angekua ameondoka tu...mwanamke anaeweza kutuma picha za uchi wake kwa mwanaume asie mume wake...huyo sio mwanamke...wa kumuita mke
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mme wa kunioa

    Usingo mother je?we si uliona ufahari kuzalishwa.. Yako kachanga chako akilee nani?
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sema sababu iliyokutenganisha wewe na mpenzi wako wa zamani

    Pumbavu zake sitaki hata kulikumbuka...nimeliacha lilipojaribu kunibambikizia mtoto....
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aisee hivi huyu mke ni mzuri?

    Wewe na huyo odo sijui omo nyote sijawaelewa...vuta bangi ukiwa umekula
  10. M

    JamiiForums Tanzania Botswana imeniingia Akilini

    MfalmewaKiha, Kama utakua na mtaji wa m10..kwanini usiangalie fursa sehemu nyengine mbali na ulipo?unajua watu wengi mnawaza maisha yapo dar tu...kwa mshiko huo nakuhakikishia kama utachanganua akili vizuri hapa hapa unafanya vizuri na Botswana utaenda kutalii tu...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kujichua ama kupiga punyeto kwa wanawake

    Ushawahi kutumia??
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia hii sio nzuri kabisaa hasa kwa wanaume

    Samaki
  13. M

    JamiiForums Tanzania Chato: Kituo cha runinga na uwanja wa kisasa wa michezo kuanza mapema mwishoni mwa mwaka huu

    Mafia wanapenda majahazi hata ukiwapelekea meli wanapanda viboti
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mishahara Feb. 2018: Jamaa ana deni langu, nijuzeni kama imetoka

    Kujikwambua ndio nini?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

    Wajamaa poleni na majukumu..anaeweza kunisaidia haka ka simu kangu anisaidie,,shida ni kuja matangazo ambayo mie hata sijui yanatokea wapi...nayachukia Sana'a...naomba msaada wenu
Back
Top Bottom