Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

Kama inavyo jieleza hapo juu, inakera sana ninapo kuwa ninatumia mtandao afu vinakuja vimatangazo vya App za playstore vinavyo kutaka u download au matangazo ya biashara yanakuja from no where,

Nawezaje kuzuia kero hii
 
Ni wazi unatumia android baada ya kutaja playstore. Ina bidi simu yako iwe rooted kwanza halafu uweke ad blocker.
Simu yako inaweza kubadili vile mtengenezaji anavyotaka ubadili kupitia settings. Uki root unaenda ndani zaidi. Kama mizizi ilivyo tafsiri ya neno roots- uki root unaweza ku modify hadi kwenye mizizi .
Kama uko radhi ,tumia kingroot
KingRoot (Android)
Root simu yako,toa mrejesho halafu nikuelekeze Ad blockers apps.
 
Thanks
 
Kama inavyo jieleza hapo juu, inakera sana ninapo kuwa ninatumia mtandao afu vinakuja vimatangazo vya App za playstore vinavyo kutaka u download au matangazo ya biashara yanakuja from no where,

Nawezaje kuzuia kero hii
Kudownload app ya adblocker au kufuta app zinazoleta hayo matangazo
 
Hebu mngerudia huo Uzi ishakuwa tabu sasa hata ukiingia kwenye galali ucheki tuvideo ni matangazo tu aaaaaaaghhhh!!!
 
Wajamaa poleni na majukumu..anaeweza kunisaidia haka ka simu kangu anisaidie,,shida ni kuja matangazo ambayo mie hata sijui yanatokea wapi...nayachukia Sana'a...naomba msaada wenu
 
Back
Top Bottom