Chato: Kituo cha runinga na uwanja wa kisasa wa michezo kuanza mapema mwishoni mwa mwaka huu

i love my girl!,Well I found a woman, stronger than anyone I know!
IMG_20180303_172222_932.JPG
 
Watu Wa chato ndio muda wenu Wa kupeleka wanenu shule ili wakirudi wazione fursa ambazo sasa hamzioni. Kule kaskazini walianza na shule ndio maana kila mahali wapo. Na mumuunge mkono raisi kwa kubuni vitu na kuomba support. Inaweza kuwa hub nzuri ya fish, madini na hata mfikirie kuwa sehem ya utalii kwa kanda ya ziwa. karibuni niwape Ndoto na Maoni
 
Ni katika taarifa ya habari ya Azam two muda huu. Naona maendeleo yamepamba moto kijijini Chato. Mtu kwao bwana..
Inakuuma mlizoea maendeleo yaende kaskazini tu!! Acha na kanda ya ziwa tufaidi kidogo na sisi na nyinyi mpumzike kidogo Mangi.
 
Our son will bring home our share.....when the whites were eating why did you not say?.. yesterday was for northeners today is for lake zoners ....but why should we bother to argue with selfish people like him?..
 
Jamani watu wa Chato wamechoka kama unabisha katizama you tube video ndiyo utajua kwamba ile bank ni kwa ajili ya kuweka pesa zake. Jamani nyie huyu baba mwenzenu na mchukia balaa.
Hao wanahela za machimbo, we wadharau tu, nenda benki za Kahama, kaa mle ndani nusu saa afu uangalie wale wanao deposit mabulungutu mle ndani wana hadhi gani.
 
Back
Top Bottom