Aisee hivi huyu mke ni mzuri?

Aisee hivi huyu mke ni mzuri?

Aombe mod afute huo uzi wake alafu aandike upya. Sijui kaandika nini!
Kwani lazima kuandika uzi? Kama huna cha kuandika basi changia walizoandika wengine. Maana uzi wako hauchekeshi wala haufundishi.

Pole mkuu nisamehe kama nimekukwaza.
 
nimetumia odo kama ndugu wa kike wa mama
Lakini mkuu me naona we humpendi mtoto wa kambo wa 'odo',ila kiukweli huyo mtoto ni mkubwa na anatakiwa atoke hapo akajitegemee...watu tungekuwa tunaishi hvyo unadhani ingekuwaje??odo yuko very right.
 
Tatizo ni mwandiko tu mkuu, ila mtoa mada ana mada yake nzuri tu sema kashindwa kupangilia paragraph vizuri Ndyo maana haeleweki
Matatizo watanzania wengi kiswahili ni lugha yao ya pili,wamesoma shuleni na mitaani,akitokea mtu akapindisha kiswahili kidogo tu basi watu wengi wanakuwa chali,hawafahamu kilichpandikwa...
 
Lakini mkuu me naona we humpendi mtoto wa kambo wa 'odo',ila kiukweli huyo mtoto ni mkubwa na anatakiwa atoke hapo akajitegemee...watu tungekuwa tunaishi hvyo unadhani ingekuwaje??odo yuko very right.
cyo kitu kibaya kukaa sema watanzania tumejijengea hayo mazingira ila india ni jambo la kawaida alaf kama hauna nyumba kuna ubaya gani kukaa kwenye nyumba ya baba? kingine huyo ni mtu anae fanya kazi sio kama ni mtu wa kutegemea baba kwenye matumiz binafsi kingne tena kama unafanya kazi na unakaa nyumbani unaokoa pesa nying ambazo ingekupasa ulipie chumba hivyo mtu anae fanya kaz na kukaa nyumbani huwa ana kamilisha mipango yake kwa haraka endapo utakuwa na maarifa. waswahili wanasema tumia ugali wa nyumbani vyema
 
Mkuu sijakataa kabisa,ila nimekujibu kulingana na ulivyosahihi kuwa nani yuko right hapo

Lakini still kijana paka anaolea nyumbani bado si sahihi...kiutamaduni wa kwetu,usiende tena India mkuu..ukisema tuwaige tamaduni zao,nadhani unajua itakuwaje.
 
Kabla hatujatatua tatizo la odo tuanze kwanza na tatzo lako...
 
Aombe mod afute huo uzi wake alafu aandike upya. Sijui kaandika nini!
Kwani lazima kuandika uzi? Kama huna cha kuandika basi changia walizoandika wengine. Maana uzi wako hauchekeshi wala haufundishi.

Pole mkuu nisamehe kama nimekukwaza.
ulitumwa usome? au umeambiwa usipo soma utachapwa? nikikuita chakbob nimekosea? wenye akili zao wamesha kamilisha kilicho hitajika muda.
Au ulitaka nitumie kiswahili chako ndio uelewe karibu Tanga pole mkuu nisamehe kama nimekukwaza
 
Wewe na huyo odo sijui omo nyote sijawaelewa...vuta bangi ukiwa umekula
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom