MfalmewaKiha,
Kama utakua na mtaji wa m10..kwanini usiangalie fursa sehemu nyengine mbali na ulipo?unajua watu wengi mnawaza maisha yapo dar tu...kwa mshiko huo nakuhakikishia kama utachanganua akili vizuri hapa hapa unafanya vizuri na Botswana utaenda kutalii tu...