People do not understand a little thing about love..
... Ukweli ni kwamba, wanawake wa sifa hizi wapo, tena wengi mno!!
Tatizo lililopo ni kwamba.. Kumpata mtu anayejua kupenda na wewe lazima ujue kupenda na ufahamu kupenda ni nini...
Zamani ulichaguliwa mtu wa kuoa/kuolewa na kutoka na sifa...
Nimekuwa kwenye Forex na trading companies kwa muda mrefu sasa, yapata mwaka 1 na nusu.. Nilipata hasara zaidi ya $6800 USD na mpaka sasa nimekuwa mzoefu mno na nimefundishwa njia nyingi karibu miezi 6 sasa..
Ngoja niwape siri: wazungu wengi sana wanaishi kwa njia hii na ni njia halali na...
Daa, pamoja na kuwacrushed sana.. Ila we jamaa unaakili sana.. Umenipa elimu hata mimi! Milionea sio kuwa na milion 2,3,10! Hapana ww is milionea
BBZ10
I think I can help na ukiendelea kupata tatizo tutawasiliana..The problem ni ktk adapter na siyo pc.. Kwa jinsi umeme unapo flow kwenye pc unafanya adapter kucheamka sana hivyo kutopeleka umeme wa kutosha ktk pc yako...
Suluhisho ni kutafuta adapter nyingine tena iwe ni original ya komputa...
Tatizo la hapo siyo 0S (Operating system), update drive zako. Drive power state failure ni moja ya tatizo. Jinsi ya ku upadate drives
1. Nenda kwenye icon ya "c0mputer" (this pc) ktk window 8 na 10..
2. Right click ktk icon hiyo (this pc)
3. Click manage
4. Drive manager
5. Drives zenye warning...
I'm back baada ya kutokuwa ktk mtandao huu kwa muda mrefu sasa.. Please, uliza kuhusu blackberry nitakusaidia na kama ni urgent sana nita ku refer kwa mtindo mwingine..
Feel free and home!
BBZ10
Tatizo hilo ni dogo kabisa na haliitaji kusumbuka..
Kwanza, unatakiwa uwe na Email (barua pepe) na uweze kuisajili ktk sim ili kupata access(uwezeshaji) wa simu yako na kwa matumizi ya setting za application ni lazima uweze kuwa na email.. Blackberry w0rld inahitaji privacy yake kwa mtumiaji...
Thanks, sir...
I love this... I remember once I read from someone, said "uovu na maovu yanayotokea, si kwa sababu ya kuongezeka kwa watenda maovu ila kukaa kimya kwa watenda mema"...
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Braza hakuna anayekukubali kama mimi aisee..
Huwezi kuamini nilikuwa nawaambia washkaj zangu kuwa itakuwa wamefanya kitu kibaya ktk maisha yako au wamekuuwa kabisa!
Kweli braza ninafuraha sana kuwa uko salama.. Nimepigia kura ccm toka nianze kupiga kura..
Yaan toka nitimize miaka 18, ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.