Recent content by madhabaunyeusinyeusi

 1. madhabaunyeusinyeusi

  Chakula kipo kingi

  Kina ngosha hao
 2. madhabaunyeusinyeusi

  Msongamano wa magari Dubai.

  Makini mkuu mbona hakuna msongamano wapo kwenye mtirrki mzuri na kizur zaidi magar yote hapo unform tofauti na bongo utakuta rolly au likontena
 3. madhabaunyeusinyeusi

  Pitia hapa huenda utanikumbuka

  Du! Kweli mkuu wasomi wengi walipoteza muda kule mashuleni kutafta utajiri Wa vyeti na wasio soma walitumia muda mwigi kutafuta pesa na utajiri wa mali na kibaya zaidi wasomi walio wengi ni wavivu mnoo at a kuuuza nyanya tu kipndi cha jioni wanaona aibu ndio chanzo cha umaskkni
 4. madhabaunyeusinyeusi

  Tawala za inchi hii naambatana na udini

  Kuna ka kitu nimekagundua maraisi wote walio pita walikua na uwiano Wa kidni ingawa inchi yetu haingozwi kidini awamu ya kwanza baba Wa taifa mkristo akaja muislamu,akaja mkristo,akaja muslamu,akaja mkristo nafikiri awmua ya sita,,,,,,,? Wana JF au viongozi wa dini hizo huwa wanshirkishwa kuleta...
 5. madhabaunyeusinyeusi

  Kwanini makampuni makubwa ya mafuta SHELL na BP yalijiondoa kufanya biashara Tanzania?

  Mmmm mzee Wa pwani alikua huru kwa kufanya lolote
 6. madhabaunyeusinyeusi

  Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

  Kula nyama kila sku afu tupia Ka BALIMI ka 1 kila siku utaona mafanikiao
 7. madhabaunyeusinyeusi

  Nile nini ili nipugue ??

  Weka picha afu tukushauri
 8. madhabaunyeusinyeusi

  Nini Tofauti ya Jeneza na Sanduku la Maiti

  Vyote ni vifaa vya kubebea maiti IPA jeneza ni neno la kiharabu waweza ita sanduku(box)
 9. madhabaunyeusinyeusi

  Jinsi ya kupika makande

  Kwa kweli kande hata uzpambe kwa Mayai,maziwa nk haziwagi tamu
 10. madhabaunyeusinyeusi

  Asikuambie mtu! Wahaya ni wazuri...

  Unataka kuniambai wahaya wanawazidi waarusha kwa uzuri Wa sura na shape au wairaq wote toka A town
 11. madhabaunyeusinyeusi

  Wapare, Wahaya, Wajita: Kabila gani wanapenda sifa sana?

  Wamasai ndio Wa kwanza kwa misifa
 12. madhabaunyeusinyeusi

  Huyu mwanamke simwelewi

  Mnunjlie pipi atakubali
 13. madhabaunyeusinyeusi

  Kama nikianzisha Chama cha Siasa:

  Jinsia hakuna
Top Bottom