Kama nikianzisha Chama cha Siasa:

Kama nikianzisha Chama cha Siasa:

Ivi kwa nini mkuu tusifungue chuo kwanza cha siasa tuwafunde vijana mimi majengo ninayo kama upo tayari niambie tufanye kazi.

SWALA LA CHUO KUFUNDA WANASIASA NI JEPESI, ILA SWALA HILI BWANA NI LAKICHAMA AMBAPO MHUSIKA ANATAKIWA KUKIFUNDA CHAMA CHAKE. UNAPOFUNGUA CHUO INAMAANA HUNA MPANGO WA KUWA NA CHAMA. KAMA NI CHUO KUNA KOZI ZA POILITICAL SCIENCE.
 
Matokeo ya uongozi,

Mchange atakupiga, adam changulani atakusaliti, ben saanane atarudi chadema

HAHAHAHA, MIMI NAUWEZO WA KUFANYA KAZI NA WASALITI NA NIKAJUA NI MUDA GANI WATANISALITI NA KUWAKANYA NA HATA KUWAJENGA ILI WAONDOKANE NA USALITI.
 
Nikushauri kitu mkuu? Labda utafute mataahira wenzio na sio hao uliowaweka hapo!
 
Nikushauri kitu mkuu? Labda utafute mataahira wenzio na sio hao uliowaweka hapo!

NI KWELI KABISA, SIKU ZOTE UNAPOFANYA JAMBO ZURI UTAPACHIKWA MAJINA MENGI KAMA HILO UNALOSEMA. MIMI NIMESEMA NAFIKIRIA LAKINI SIJAANZISHA.
 
SWALA LA CHUO KUFUNDA WANASIASA NI JEPESI, ILA SWALA HILI BWANA NI LAKICHAMA AMBAPO MHUSIKA ANATAKIWA KUKIFUNDA CHAMA CHAKE. UNAPOFUNGUA CHUO INAMAANA HUNA MPANGO WA KUWA NA CHAMA. KAMA NI CHUO KUNA KOZI ZA POILITICAL SCIENCE.
Kwanini mtu kama wewe usipewe wizara mojawapo nyeti kati ya Wizara ya afya,Ofisi ya rais,Wizara ya ulinzi na JKT,Wizara ya elimu au Nishati na madini lakini pia Wizara ya fedha unafit bila shida. Mimi roho inaniuma kuina adhina kama wewe unaachwa tu nchini mwetu bila kazi yoyote wewe ulitakiwa uwe ikulu kwa ajili ya kupanga mikakati natumai serikali yetu sikivu inakuona na italifanyia kazi au wewe mwemyewe ndio utaki?
 
Tatizo sio Mimi Bali tatizo ni WIVU na roho ya kwanini. Siunajua binadamu na viatu.
 
MwanaCCM aliyekosa msimamo huyu. Ulidhani kwa kuhamia kwako Umagambani ungetoka kisiasa na kimaisha, kumbe wapi, umepotea mazima.

Kunijua Mimi ni sawa na kujua tabia mtoto WA mfalme Daud yaani Solomon I(Sulemani), ndio maana vijana wa CCM hamnielewi na mnafikiri nimepoteza dira. Akili kumkichwa.
 
Wewe na akina Lizaboni na kundi lake wale bado hawakufikii kwa akili muombe mungu akufanikishie ndoto zako
 
unaanzisha chama ili upate uenyekiti au upate ruzuku au upate nini
 
af kuna uwezekano hao uliowataja wakakataa hizo nafasi au wakawa hawana imani na mwenyekiti wao
 
Back
Top Bottom