madhabaunyeusinyeusi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 200
- 98
Kuna ka kitu nimekagundua maraisi wote walio pita walikua na uwiano Wa kidni ingawa inchi yetu haingozwi kidini awamu ya kwanza baba Wa taifa mkristo akaja muislamu,akaja mkristo,akaja muslamu,akaja mkristo nafikiri awmua ya sita,,,,,,,? Wana JF au viongozi wa dini hizo huwa wanshirkishwa kuleta amani au?