Recent content by madhabahu nyeusi

  1. madhabahu nyeusi

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuvumilia hii?

    Ukiona hivyo we ulikua unamsumbua jibaba sawa ya moto ni moto Maji utakosea.
  2. madhabahu nyeusi

    JamiiForums Tanzania Picha: Wahitimu wa diploma wakihitimu bila majoho

    Kwani kukosa kuvaa majoho Luna athari yoyote inayo tokea kwanza kujipa gharama ktk maaandalizi
  3. madhabahu nyeusi

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu sipendi sherehe kabisa. Je, nipo sahihi au nakosea?

    Halo upo sahihi sherhe hua hazina uzalishaji kabsa sehemu kubwa hua unapoteza fedha,utaish maisha mazur.
  4. madhabahu nyeusi

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Mh. Januari Makamba, Waziri wa Mazingira

    Hiv viongoz wote kuanzia ngaz ya kitongoji had mkoa wamechemka ?? au mgodi Wa mkuu fulni ndio maana linafumbiwa macho.
  5. madhabahu nyeusi

    JamiiForums Tanzania hawa polisi sijui wananipeleka wapi

    Pole bingwa kubali uzalendo
  6. madhabahu nyeusi

    JamiiForums Tanzania Igunga: Wanakijiji wafunga barabara kuu ya mikoani, magari yakwama, polisi wapiga mabomu ya machozi

    Kufunga road kosa la jinai,ni sawa na kusimamisha shughuli za kiuchumi.washtkiwe hicho kijiji
  7. madhabahu nyeusi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kiba hatumiki kwenye matangazo?

    Hataoi rushwa.
  8. madhabahu nyeusi

    JamiiForums Tanzania Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

    Jenga nyumba mpya utauza kwa M70 hiyo inalipa sana bingwa
  9. madhabahu nyeusi

    JamiiForums Tanzania Sasa imefika wakati Tanzania tupunguze kuzaana!

    Ee nendeni mkaijaze dunia,Afu wew unapinga maandko tuzae tu kila mmoja na bahati yake
  10. madhabahu nyeusi

    JamiiForums Tanzania Kwangu mimi ilikuwa ni kama ndoto

    Da! usione nyani kazeeka ujue kapiatia mishale mingi sana.hongera
  11. madhabahu nyeusi

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi lodge

    Mzigo TGS......? Weka hapo..
  12. madhabahu nyeusi

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kujitoa muhanga kwa wife

    Umefanya LA maana kama atachemka na hapa kazi tu atabeba koba lake arudi mpindimbi akalime chugu.
  13. madhabahu nyeusi

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Dar!!

    Kha!
  14. madhabahu nyeusi

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kike zaidi ya 50 Kilimanjaro wamefungiwa ndani ya shule kwa nguvu kisa ada

    Mungu Wangu! Duu! Tz kila mtu ana sheria zake?
Back
Top Bottom