Sawa ni siri ila vingine vipo wazi tu kuwa u can't satisfy two women at the same time. Haya Leo umelala kwa mkubwa nahuku mimi ndo niko hot balaa yani zile siku za kuwa nahamu na mwanaumeeee nawewe siku hizo si zamu yangu!!! Vipi hapo????! It's not fair. NOT FAIR AT ALL
Nimecheka hadi nimepaliwaThat's true! Ila kwahuyu mkubwa Nina walakini na akili yake.. Kuna kipindi mumewe anaumwaga presha ambayo inasababishwa na nyumba ndogo.. Na nyumba ndogo sijui ashajua muwe wa mtu kafa kaoza kwake ndo makusudi kibaooo presha presha mpaka mkewe anampigia simu kumuuliza mke mdogo umemfanyeje huyu??? Anaumwa siku ya Tatu Leo Njoo umuone wewe ndo atapona.. Mi najua ukija tu atapona Mdogo anajibu mumeo nimemwambia namuacha aendelee na familia yake mi uke wenza siwezi.. Mkubwa kwa upoyoyo anaanza kubembeleza mdogo jameni usimuache anakupenda sana mi najua tu anakupenda sana ukimuacha sijui yani khakhaakhaa kwahizi akili za mkubwa hizi mwee
Mimi ni hiyo dudu tu ya huyo mwanaume ningeikataNa wstoto wameangalia tu mama yao akipewa kichapo????
Walahi mchepuko ungekula kichapo mpaka wenyewe ndio utoe shikamoo..
Unless kama watoto walikuwa wanamtegemea mwanaume
HahahaMimi ni hiyo dudu tu ya huyo mwanaume ningeikata
Ha ha ha kumbe kuna story za maembe tenaMi mwenyewe najiuliza sipati majibu tena ndokwanzaaa mke mkubwa anamtafutia na maembe mke mdogo hivi zi timamu huyu kweli????
Muda wa kuyaacha automatically ulishapita.Kwahiyo unataka kusema kidumu CHACHAMA?? ( Chama cha mabachela?? Inafika wakati hayo utayaacha automatic
We mkali DadanguUsiondoke hivi hivi
Fanya mpango mkakati hiyo nyumba kama yenu ichukulie mkopo
Waje kuuzwa wakiwa ndani
Ha ha ha ha inaonekana ugomv wako mmmh hatar sana visu mixer mawe na maji ya moto mmhHahahaahhahahaahahahahaha hospital nitaenda visu na mawe maji ya moto mafuta yamoto vikiwa mbali labda hahaha
![]()
![]()
![]()
![]()
-Unamwambia tu mume wako, halafu anafanya mabadiliko kwa kumjulisha mke mwenzio.
-Anaruhusiwa kuja kukusatisfy kwa kumshirikisha tu mke mwingine kwa kumjulisha leo nipo huku nakuja kesho. Kesho yake aongeze siku ya kuifidia ili kumpatia haki yake bila upendeleo.
Ah ha ha ha yani wewe. ...Humo ndani hamna visu mapanga wala bastola???
Ujinga na dharau hizo
Huyo mwanaume anataka majengo ya serikali yajae eeeh
Ndoa sio utumwa
Ila walioko ndoani ndio wanajitia utumwa
Hivi anaanzia wapi kwa mfano kuleta chepuko??????
Na wakija wakiona nimekaa kimya wakatoe taarifa polisi kabisaaaaaaaaa