Sasa imefika wakati Tanzania tupunguze kuzaana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa imefika wakati Tanzania tupunguze kuzaana!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Nichumu Nibebike, Dec 12, 2016.

 1. Nichumu Nibebike

  Nichumu Nibebike JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2016
  Joined: Aug 28, 2016
  Messages: 6,257
  Likes Received: 10,034
  Trophy Points: 280
  Nimeiweka hii mada kwenye jukwaa la chaguzi ndogo kwa kuwa hapa watanzania inabidi tufanye uchaguzi mdogo juu ya ukubwa wa familia zetu...
  Kutokana na ugumu wa maisha kuongezeka na kuongezeka huku kukisababishwa na population growth sasa ifike kipindi tupunguze kuzaana... Kila mwananmke aruhusiwe kuzaa watoto wawili tu...
  Rasilimali tulizo nazo hazitosheliezi kukidhi mahitaji ya Watanzania milioni hamsini.
  Tutaichukia serikali milele lakini ukweli ni kwamba, ajira zilizopo hazitoweza kutosheleza Watanzania milioni hamsini...
  Tatizo la ajira halipo Tanzania pekee, hata nchi zilizoendelea kama Italy kuna tatizo la ajira hasa kwa vijana... Nchi za Scandinavia pia nako kuna tatizo la ajira. Nina ndugu zangu wamekimbia nchi zao (za Scandnavia) na kwenda kuishi Uingereza ili kutafuta ajira...
  Maji ya mito na mabwawa nayo yameanza kukauka. Ili Tanzania iwe yenye neema, inabidi population ipungue katika miaka kumi au ishirini ijayo na nchi iwe na watu wasio zidi milioni thelasini... La sivyo ugumu wa maisha utabaki pale pale...
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2016
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,637
  Trophy Points: 280
  We jamaa mbona unaleta uchochezi???

  Unataka kutumbuliwa??? Au unataka kwenda kumsalimia Lema???

  Sisi tunafuata maagizo ya namba moja wetu...

  Amiri jeshi mkuu ametuagiza tufyatue kwa wingi... Nini kuzaa bana, ingewezekana tungetotoa kabisa.
   
 3. Mr.Wenger

  Mr.Wenger JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2016
  Joined: Nov 20, 2014
  Messages: 1,300
  Likes Received: 1,995
  Trophy Points: 280
  Mkuu alisema tuzae elimu bure wewe unapingana nae kwa kigezo cha ajira, sasa unataka Tanzania ya viwanda import man power?
   
 4. jojilo

  jojilo Member

  #4
  Dec 12, 2016
  Joined: Nov 28, 2016
  Messages: 65
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
  Hahah huyo unakuta hana hata mke na mtoto ndo maana
   
 5. w

  wiser1 JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2016
  Joined: Aug 6, 2015
  Messages: 1,606
  Likes Received: 1,451
  Trophy Points: 280
  siku zote ukweli mchungu!!....lazima tukubali watz tupunguze kuzaliana
   
 6. R

  Retired JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2016
  Joined: Jul 22, 2016
  Messages: 10,072
  Likes Received: 11,813
  Trophy Points: 280
  M
  Mheshimiwa anahimiza kuzaa! au umesahau
   
 7. City owl

  City owl JF-Expert Member

  #7
  Dec 12, 2016
  Joined: Mar 21, 2014
  Messages: 1,326
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  Anayetaka kuacha kuzaa aache..
  Tunaotaka kufikisha at least nusu ya rekodi ya Akuku danger tuendelee.
   
 8. madhabahu nyeusi

  madhabahu nyeusi Senior Member

  #8
  Dec 12, 2016
  Joined: Nov 17, 2016
  Messages: 140
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Ee nendeni mkaijaze dunia,Afu wew unapinga maandko tuzae tu kila mmoja na bahati yake
   
Loading...