msanii,
wewe ndio unayeleta udini hapa, hebu tazama hayo mabank yote yalioanznisha Islamic banking original yake....sio waislam, ila niwafanyabiashara wameona busines opportunity hao wanataka kutumia, na sio lazima, ni option kama vile unavyochagua aina ya account unayotaka kufungua na...