Bunge shupavu la Tanzania: Pendekezo la wabunge 2010-2015 list down | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge shupavu la Tanzania: Pendekezo la wabunge 2010-2015 list down

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kachanchabuseta, May 10, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ndugu wanaJF natanguliza samahani nitakaowakwaza, Mwaka huu ningependa kupendekeza bunge letu lije na watu wafuatao,

  Unaweza kuendeleza List (hata kwa wali ambao sio wabunge kwa sasa but wametangaza kugombea)


  1.Dr W. Slaa
  2.Dr Pombe
  3.Dr Mwakyembe
  4.Anna kilango
  5.Olesendeka
  6.Zitto kabwe
  7.John Myika
  8.Tundu Lissu
  10.F. mbowe
  11.Renatus Mkinga
  13.Wilfred Lwakatare
  14.George Simbachawene
  15.Wabunge wote wa CUF Zanzibar
  16.Anna Tibaijuka
  17.Selelii
  18.Lembeli
  19.Said.Nkuba-Sikonge,Tabora
  20.Mch.Amani Masangwa,Monduli kwa Lowasa
  21.Samuel Sitta
  22.Godfrey Zambi
  23.Fred Mpendazoe(kama CCJ ikipata usajili)******
  24.Pinda
  25.Arfi,Chadema Mpanda
  26.Beatrice Shellukindo
  27.William Shellukindo
  28.Ndesamburo
  29.Ananilea Nkya
  31.Sima Rwakilomba - Karagwe
  32.Mch. Msigwa - Iringa Mjini
  33Amosi Makalla-jimbo la mvomero
  34Halima Mdee
  35.victor kimesera
  36.MAGESA Finiasi (BUSANDA)
  37.DAVID kafulila
  38.KINABO (ROMBO)
  39.Mzee Mwanakijiji  WAKUU WANAJF TUNAOMBA UKIWEKA JINA LA MBUNGE WA SASA /MTALAJIWA HUSIWEKE JINA KWA HITIKA YA CHAMA AU UNDUGU AU USHABIKI-SAMAHANI KAMA NIMEKUKWAZA
   
 2. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,583
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  12.Prof.Mwandosya
  13.Wilfred Lwakatare
  14.George Simbachawene
  15.Wabunge wote wa CUF Zanzibar
  Haya endelezeni list waungwana!
   
 3. M

  Madevu Member

  #3
  May 10, 2010
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anna Tibaijuka
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  May 10, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Ili kiwe nini?
   
 5. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Hey Heyyyyy.... angalia sana. Hilo jina la mbunge wangu mtarajiwa umelikosea saaana! Kwa usahihi ni Tundu Lissu
   
 6. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Mama Ananilea Nkya pia akiwemo,,hoja za hovyo hovyo zitapata shida
   
 7. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,583
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  17.Selelii
  18.Lembeli
  19.Said.Nkuba-Sikonge,Tabora
  20.Mch.Amani Masangwa,Monduli kwa Lowasa
  21.Samuel Sitta
  22.Godfrey Zambi
  23.Fred Mpendazoe(kama CCJ ikipata usajili)
  24.Pinda
  25.Arfi,Chadema Mpanda
  26.Beatrice Shellukindo
  27.William Shellukindo
  28.Ndesamburo
   
 8. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,583
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Ili kiwe maoni!
   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Asente mkuu nimeisharekebisha
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  NImeona Mwandosya kwenye list ya mdau King of Kings, sioni kama anaweza fanya lolote, amekuwa kwenye system hii mbovu miaka nenda rudi kama waziri, apumzike awapishe wengine sasa.
   
 11. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Ni kweli maana hawa ndio tunasukumaga magari yao wakaati wa kampeni tukiwatumaini jipya lakini wanaishia kututukana kuwa hata tukiwanyima kura zetu hawaziitaji. Waishie mbali. Mnakumbuka na sakata la kuuzwa ttcl?
   
 12. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nimeisharekebisha List iendelee mkuu
   
 13. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kaka asante sana list imetulia sasa mimi naja kinyume nyume lakini swali limejibika.
  Wale nisiowataka kuendelea na ubunge hata wakigombea.
  1. JK
  2. Makongoro
  3. Kapuya
  4. Maua
  5. ......
   
 14. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mpendazoe mpeni popote atakapokurupukia hata kama itakuwa too late. Maana alionesha ujasiri wa hali ya juu sana.
   
 15. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Labda hapa tuanzishe list nyingine
   
 16. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Balozi Kagasheki
   
 17. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Huyu ndo nani?? diwani, au mbunge mtarajiwa ??? au Balozi nchi za nje??
   
 18. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,583
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Huyo hafai ndo maana tumemuorodhesha Wilfred Lwakatare.Kagasheki ndo walewale wafuasi wa JK coz alikuwa naye mambo ya nje,kama kawaida ya JK kuendeleza uswahiba.
   
 19. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #19
  May 12, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  List ya ninaopenda wawe wabunge

  Sima Rwakilomba - Karagwe (Sijui nimepatia kuliandika jina lake)
  Mch. Msigwa - Iringa Mjini
  Mama Kilango - (kwa kujikubali kuwa anaburuzwa)

  Nisiotaka warudi kamwe

  Rita Mlaki
  Karamagi
  Wassira
  Dr. Msabaha
  Wote waliohusishwa na kashfa ama hata kwa kutajwa tu!
  Monica Mbega
   
 20. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #20
  May 12, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  aSANTE MKUU red: labda tuanzishe list nyingine :A S 41::A S 41::A S 41::A S 41:
   
Loading...