Recent content by maasai Ndito

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nilitamaani sana kuoa mmasai aliyeenda kidato jamani:

    Tupo mkuu ila we mwenyewe umesoma????? Vp kipato chako? ??? Na vp ile kwenye "ile naneno" upo vizuri au???, manake Vigezo na nashari kuzingatiiwa lol.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Movie iliyowahi kukutoa machozi....

    Duh sometimes in April ni nzuri mnoooo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    Mkuu umeongea point sana.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Beauty With Brains: Mwamvita Makamba!!

    Huwa namfananishaga na ndege mbuni. Sura yake
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ndani ya Emmanuel Tv kwa TB Joshua

    Duh mungu akusamehe bure;naamini kwa uliyosema hata nafsi yako inakusuta.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Acha uongo wewe. Afande skivua nguo sikunyingi sana kabla ata hajajiunga chadema. Sazingine kukaa kimya nauo ni busara
  7. M

    JamiiForums Tanzania Joram Kihango vs Willy Gamba

    Duh umenikumbusha mbali mdau. Joram kiango alikuwa ni noma hasa kile kitabu cha tutarudi na roho zetu. Ila sikuwahi kujua kwamba ni marehemu. Duuh may his soul rest in peace.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Millard ayyo in Dubai

    Mwee maskini warumi umeezodolewaje sasa????
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete anguruma Davos kwenye mkutano wa WEFORUM 2014!

    Ha ha haaa well said mdau.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Salama Jabir na Mkasi

    Yah wanaboa sana hawa jamaa sazingine mtu ajamaliza kuelezea jambo wao wanarukia akafu yule mwingine kwanini asiwe smart? ?yani ile minywele yake na zile ndevu utadhani beberu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Shopping yako ya mavazi unaifanyia wapi?

    Nenda mwenge. Ila mi nashida na poda nzuri au foundation na shida nazo sana ila iwe original nijuzeni pakupatia jamn. Na contact kama itawezekana.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Benjamin Mkapa: Watanzania mtanikumbuka

    Kuna mtu humu ndani alisema huyu baba (kikwete) asipojua kuendesha ndege mwaka huu b asi atakuwa anakichwa kigumu sana.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Live TBC1: Mawaziri wanaapishwa

    Kavaa liskafu lake yani hata hafananii jamani. Yeye mwenyewe(mwigulu) haamini. Haya ni matusi kwa watanzania
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Baraza jipya limechoka kabla halijaanza kazi

    I second u mdau. Kweli kikwete katuchoka anatufanyia makusudi ya wazi kabisa kisa yeye karibu anaondoka. Kumpa Mwigulu u waziri ni kutukosea heshima watanzania. Mbaya zaud Hawa ghasia kabaki palepale eee. Aya bana tunashukuru
  15. M

    JamiiForums Tanzania hatimaye Mh. Mwigulu aula apewa unaibu waziri wa fedha..,MH Mulugo apigwa chini Elimu

    Duh kweli wewe kukudume. Waslam mnatabu sana. Eti na wewe unajiita great thinker. Kuhusu mwigulu hapo rais wangu amebugi mnoooo tena sana. Naona ata yeye (analijua ilo). Cjui ni nani ameiloga nchi yangu ,kikwete aliona ata aibu kusoma aayo majina akaona bora aende kupokea rungu cjui fimbo ya...
Back
Top Bottom