Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,583
He he he he, kavaa skafu?
Wanawake mna kazi kweli, kuna wakati unaweza kuheshiwa ukiwa single woman kuliko kumtambulisha mshamba kama huyu eti ndio mume wako!
He he he he, kavaa skafu?
He he he he, kavaa skafu?
Kavaa liskafu lake yani hata hafananii jamani. Yeye mwenyewe(mwigulu) haamini. Haya ni matusi kwa watanzania
Mungu awatangulie na kuwaongoza katika kutekeleza majukumu ya nafasi zao mpya. Wafanye kazi na kutimiza yale yote yanayotakiwa kutoka kwao kwa mujibu wa sheria za nchi. Ni kwa kufanya hivyo ndipo wataweza kuliponya taifa hili kutokana na uovu unaoendelea sehemu mbalimbali hasa unaohusiana na maliasili za taifa letu
Nkamia janga la jf bye bye jamii forum
He he he he, kavaa skafu?
Muda huu ndio Raisi Kikwete amewasili katika viwanja vya Ikulu na zoezi la kuapishwa mawaziri ndio limeanza ambapo wanakula kiapo hicho mbele ya Raisi Kikwete.
Dr.Husseim Mwinyi ndio amekuwa wa kwanza akifuatiwa na Mathias Chikawe.
Hawana jipya,Mwigulu leo atamwalika mpaka hawara yake
Kavaa liskafu ndani kavaa jezi ya Taifa stars, kama state house inashindwa kusimamia dressing code basi makasino yana uongozi bora kuliko ikulu dhaifu.
Hivi jamani hata namna ya kuvaa suti tunahitaji mwekezaji au mshauri mwelekezi?
Muda huu ndio Raisi Kikwete amewasili katika viwanja vya Ikulu na zoezi la kuapishwa mawaziri ndio limeanza ambapo wanakula kiapo hicho mbele ya Raisi Kikwete.
Dr.Husseim Mwinyi ndio amekuwa wa kwanza akifuatiwa na Mathias Chikawe.
Nkamia janga la jf bye bye jamii forum
Kavaa liskafu ndani kavaa jezi ya Taifa stars, kama state house inashindwa kusimamia dressing code basi makasino yana uongozi bora kuliko ikulu dhaifu.
Hivi jamani hata namna ya kuvaa suti tunahitaji mwekezaji au mshauri mwelekezi?
Wanawake mna kazi kweli, kuna wakati unaweza kuheshiwa ukiwa single woman kuliko kumtambulisha mshamba kama huyu eti ndio mume wako!
Hivi huyu jamaa hana mke wa kumshauri mavazi? Anawatia aibu sana wanyiramba.
Wizara ya elimu ni sawa na Kutoa mlango na kuweka pazia ili kuzuia wezi. Inaudhi kwa elimu yetu.Muda huu ndio Raisi Kikwete amewasili katika viwanja vya Ikulu na zoezi la kuapishwa mawaziri ndio limeanza ambapo wanakula kiapo hicho mbele ya Raisi Kikwete.
Dr.Husseim Mwinyi ndio amekuwa wa kwanza akifuatiwa na Mathias Chikawe.