ndugu malafyale umepotoka kidogo
naamini nia yako ni njema kabisa lakini kuna mambo 2 umeshindwa kuyaelewa either kwa makusudi au kwa bahati mbaya,sheria haisemi kiongozi wa kambi ya upinzani anaweza kupunguza wizara kama anavyotaka,serikali ina wizara na mawaziri 27,manaibu waziri 23,jumla...