watanzania wanahitaji jambo moja tuu ili waendeleo:kuiondoka ccm madarakani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

watanzania wanahitaji jambo moja tuu ili waendeleo:kuiondoka ccm madarakani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mabadilikosasa, Dec 24, 2010.

 1. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ccm ya sasa inaongozwa na mafisadi, jk, ridhiwani, rostam, makamba.udini ni strategy yao ya kuwagawa wa watanzania ili wasiweze kudai haki zao kama taifa moja.ufisadi ni strategy yao ya kupata hela chafu kuwarubuni nec , baadhi ya wandishi wa habari,usalama wa taifa, na viongozi wa majeshi.wanagawa vyeo kwa uswahibi, msingi ya udini, udugu, urafiki, kama tawala nyinginezo duniani za kidikteta.hawana huruma kwa maskini.watanzania wengi ni omba omba wakati viongozi wachache wa ccm wanasaza,ni mabilionea kama chenge
   
 2. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Tanzania tunahitaji mapinduzi , hawa wasaliti wote wanastahili kukusanywa pale jangwani kisha wapigwe risasi hadharani iwe fundisho kwa wote, mimi ningependa nimtoe roho RA kwa mikono yangu, wanakera sana hawa mafisadi.
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hata CDM nao ni mafisadi pia : Mbowe (Madanguro na mkwepa kulipa kodi), Slaa ( ni mdini anaetaka kuifanya Tanzania kama vatican ibatizwe iwe ya wakatoliki tu, na pia Slaa ni fisadi wa wake za watu), Upendeleo wa ugawaji wa madaraka kwa kutumia ukabila (watu wa kaskazini tu) . Katu CDM kwa misingi hiyo hawatoweza kuja kutawala nchi hii ng'oooooo !
   
 4. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  unasema ni mambo ambayo hayana msingi wote, ya uzushi.watanzania wa kweli, wazalendo, wenye akili timamu, na wanaojua dunia inavyokwenda, mambo yanayofanyika serikalini, lazima watamuunga mkono dr slaa na team yake kwa nguvu zote na maombi yao yote.lazima uwe na kasoro ya kiakili au kiroho kama unaunga ufisadi, wizi, na udini wa jk na ccm
   
 5. M

  M TZ 1 Member

  #5
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Geniusbrain,umejizalilisha sana,siamini kama umetumia ubongo kufikiri,labda tumbo ndiolimetumika kufikiri.kama mbowe angekuwa na dangulo,mkwepa kodi ccm wangemshughulikia,kama dr slaa angekuwa mdini asingepambana na mafisadi,slaa amesema hata juzi amepeperusha bendera ya chadema tangu 1995 moaka leo hii lakini hajawahi kupata viti maalum,na hajawahi nkulalamika,sasa unaposema ugawaji wa madaraka kwa watu wa kaskazini unakuwa udajidanganya,humdanganyi mtu,acha siasa maji taka jenga hoja,weka maslahi ya taifa mbele,njaa hizo zitakujakuwatokea puani,,,,,
   
 6. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ukweli ndio huu, Slaa hakuwa anapigiwa debe makanisani ? mie mwenyewe nimeisha shuhudia hilo na tulimuonya padri wetu juu ya hilo, kwa kigezo eti huyu ni padri mwenzetu. Fika bilicanas pale uone uchafu unao endelea pale, zinaa inavyo fanyika nje nje , wewe upo Dar kweli? nadhani hujui usemalo nyamaza kimya. Ugawaji wa madaraka umeenda kindugu mf. Ndesamburo, mtoto wake na mkwewe wote viti maalum. Bado Mbowe na mtoto wa kufikia, je tutafika ? . Acheni ushabiki CHADEMA ni Chama cha kidini + Ukabila + Uchu wa madaraka, ni bora Mungu alituepusha nacho kushika madaraka, watanzania tungejuta maishani mwetu daima
   
 7. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,797
  Likes Received: 1,339
  Trophy Points: 280
  GeniusBrain

  Hicho ndicho ulicha nacho moyoni na unaishi hivyo.

  Kaa hivyo hivyo na imani ya 47, Lakini mmebaki wachache mlio wajinga jinga.

  Wewe ni kati ya wale wanaoamini kuwa Kofia ilyoandikwa "NYC" inamaanisha New York City

  Kumbe maana yake ni NOT YET COMPETENT
   
Loading...