Wabunge CHADEMA Kutoka Nje Ya Bunge: Tafsiri Yangu

Maggid nenda mitaani katuletee stori za misosi kama Ugali na kunde,siasa huiwezi si leo tu tangu ukiwa shule Sangu.
Pamoja na kupata Exposure ya siasa za First World bado tu umechina huna radha wala mvuto.
Danganya wengine akina sisi tunakufahamu ulivyo mbumbu wa kuchambua mambo.
Huko darasani nako nadhani unazarisha vilaza wa uchambuzi zaidi yako.
 
wewe nawe njaa tu zinakusumbua, utaweza wapi kuwakosoa watu wanaokulipa kwa kazi za kijinga kabisa eti vigezo vya kitaalam, siku yenu inakuja wote ninyi mnaotafuna pesa ya nchi mtakiona..piiipoz pawa


Kichaa mwingine kazini!!!!

Hivi kweli wewe na akili zako ungeliweza kusema haya maneno kwa Kitila kama angekuwa ni mtaaalamu wa CCM au tu kwa kuwa yuko opposition. Mbona kuna wasomi kibao wako CCM na wanatumiwa hata kuchakachua statistics za mambo mbalimbali lakini hujasema njaa. Au unafikiri Kitili analipwa pesa nyingi sana kwa kazi anayofanya CDM kuliko kazi yake ya uhazili??

Fungua macho kijana/mzee, inaelekea propanganda za CCM zilishakuingia kama akina Maggid na kukuharibu kiasi kwamba unahitaji treatment ya nguvu ili urudie katika hali yako ya kawaida.
 
Ndugu yangu Maggid,unapenda kutanguliza kuhofia democrasia yetu changa,lakini kwanini huoni tatizo la msingi kwa serikali ya CCM kutumia kila namna kudhoofisha upinzani? kama nia kwa wote ni kujenga nchi kwanini hata hoja ya mambo ya msingi mengi tu hujitokezi kuyazungumza waziwazi na ukizungumza ni mambo very soft ambayo huwezi kuwaudhi wakubwa? Kwanini kila jambo linalohusu cdm unajitokeza haraka kujaribu kujengea watu attitude fulani dhidi ya cdm? Huoni swala la msingi ambalo cdm wanajaribu kufanya ili kuwa na upinzani madhubuti usio na shaka na hasa kwenye mazingira na mifumo iliyopo? Kwanini kelele za cdm kutoka bungeni zinakuwa nyingi kuliko sababu zilizowafanya kutoka? kwani wamevunja sheria? unaweza usivunje sheria alafu ukaambiwa sio mstaarabu kisa umetafuta namna ya kuonyesha kutokubaliana na hizo hoja za kipropaganda? Kwanini hatuoni matatizo ya msingi ili maridhiano ya mustakabali wa Taifa letu yawe ya haki na kufuata sheria zetu? unajua hata wananchi hufikia hatua hata ya kuvunja sheria baada ya kuona hata hizo sheria walizojiwekea hazifuatwi.cdm waendelee kutumia njia zote bila kuvunja sheria na kwa hali ya sasa bila sometimes kuwa aggressive CCM wataendeleza yale yale,sikilizeni hata hoja za wabunge wao bungeni jamani kweli serikali itasimamiwa namna hii! Maggid unaipenda nchi yako kweli?
 
Kuna baadhi ya wana cdm wanataka kuingia kwenye huu mtego wa kelele nyingi za wabunge wa cdm kutoka nje lakini tukumbuke hakuna kitu kitachofanyika kitachohatarisha mwelekeo wa CCM wasipige kelele.Tujue kelele zao ni dhahiri ni hofu yao kuwa wananchi wanapata picha halisi.Furaha yao ni kuwa kama wao na huo ustaarabu wanaoimba wa kuchonga.Ustaarabu wa kurusha vijembe bila hoja kama Hamad Rashid,Kafulila na ndugu zao CCM wanavyofanya ili tuone mawazo na mikakati yao ilikuwa sahihi.cdm msiingie ktk mtego wa vijembe bali hoja za msingi na nimependa mlivyo jipanga kama jinsi jana alivyozungumza Tindu lissu issue za kisheria zaidi na Zitto mambo ya uchumi.Tupo pamoja cdm hasa huku mtaani kuweka mambo sawa ili wasioelewa wasipotoshwe.
 
Majid mwandishi maarufu kama wewe unapokuwa unatoa habari za kuposha unakuwa ni MPUUZI (Na sio mjinga, maana mjinga hutibiwa kwa kuelimishwa, lkn mpuuzi hatibiki) na MROHO (Uroho upo wa iana nyingi, kuna wa madaraka,pesa,kuuza sura nk sijui huu wa kwako ni wa nini sasa). Uroho hupeleka watu kama nyinyi the HEGUES. Naamini hakika unajua kwamba wabunge wa CHADEMA walichangia mada saana mpaka walipoona kuna hujuma flan kulazimisha kubadirishwa kanuni ndipo walitoka nje, kunyesha ukomavu wa kidemokrasia wa kutounga mkono uhuni huu.Na sikwamba hawakuchangia mada. Majid hata ITV na TBC walionyesha haya kwenye taarifa ya habari wewe ulikuwa unakunywa ulanzi??

CHADEMA kama alivyosema Mh.Mbowe ni kwamba sio kwamba hawataki ushirikiano na vyama vingine .ila pawepo na makubaliano madhubuti na mazungumzo ya mda mrefu pamoja na kuwashirikisha wanchama wao.

Majjid usiwe kama mtoto, elewa kuunganisha CHADEMA na CUF sio kazi ya viongoz tu! kuna mamilion ya wanachama wanahusika hapo. CUF ikiwa ni CCM-B, kuiunganisha na CHADEMA ni sawa na kuinganisha CHADEMA na CCM..na hapo upinzani umekufa TZ.Tutakuwa hatuja watendea haki waTz wanodai mabadiriko, Tutakuwa hatuja zitendea haki roho za watu waliokufa wakidai mabadiriko.

Majjid, Sio kwamba waTZ ni wakolofi na tunapenda kupingana pingana,kugoma na kuandaman..la hasha! Tunatamani sana migongano hii, wote tufaidi rasilimali za nchi yetu kwa usawa na tufanye maendeleao. Lkn huwez kuungana hivi hivi bila kumaliza madai ya msingi ya wananchi, hapo ndipo unapoona nguvu ya UMMA inafanya kazi. Lazima NGUVU ya UMMA ifanye kazi sana tufika tunapotaka kufika. Angalia kenya nguvu ya UMMA ilifanya kazi sana mpaka serikali ya umoja ikapatina na sasa wote wanafaidi rasilimali za Taifa lao kiusawa. ZNZ pia NGUVU ya UMMA ilifanya kazi sana ndio huo muafaka ulipatikana huko ZNZ huku kwetu bara bado sana...watu wachache ndio wameiweka nchi mifukoni. CHADEMA hatutorudi nyuma ktk hili na tutazid kutumia NGUVU ya UMMA mpaka kieleweke.


Majjid, ilitakiwa ujiulize kabla huaandika huu upuuzi, kwanini CCM wanalazimisha CHADEMA waungane na vyama vingine(hasa hasa CUF maana vingne vimeunganishwa kwa mkumbo tu)?? Kwa nini CCM wasiache vyama vya upinzani viamue vyenyewe?? ulishaona wapi duniani chama tawala kikalazimisha vyama vya upinzani viongane??...hapo lazima ujua kuna kitu! Jiulize vizuri sio unakurupuka kurupuka tu.

USHAURI WA BURE KWA MAJJID,

Jitahid uwe na ushirikia mzuri na milango yako ya fahamu ikiwemo akili kabla hujaandika vitu vinavyogusa jamii. ukiendelea kuandika kwa kushirikisha vidole vyako tu...itakuja kukughalimu sana.
 
Mkuu Magidi kafungue kanisa uwe unapeleka huko haya maubiri yako.
Sisi watanzania wa sasa tushapinda siku nyingi now we are looking forward to rescue our country economy by any means.
Ustaarabu fanya na familia yako nyumbani....bungeni tunafata vifungu na sheria
WE ULITAKA WARUSHE NGUMI?? Mgomo ni moja ya suluhu ya matatizo.....Mi sina chama ila upinzani wanahitaji kuungwa mkono sana ili CCM wabadilike na kuonyesha nia ya kweli katika nchi yetu.
 
Maggid nenda mitaani katuletee stori za misosi kama Ugali na kunde,siasa huiwezi si leo tu tangu ukiwa shule Sangu.
Pamoja na kupata Exposure ya siasa za First World bado tu umechina huna radha wala mvuto.
Danganya wengine akina sisi tunakufahamu ulivyo mbumbu wa kuchambua mambo.
Huko darasani nako nadhani unazarisha vilaza wa uchambuzi zaidi yako.

kwa majibu yako na hoja/post hii, only a fool will fail to tell nani alikua na anaendlea kuwa kiraza na nani amebadilika!
 
Maggid mjengwa
watu kama nyinyi ni muhimu sana katika taifa lolote duniani,bila ya kujijua huwa mnachochea fikra za mageuzi na
kuwaimarisha wale wenye kuona mbali zaidi,unajua hata katika maisha bila changamoto na vikwazo mbalimbali ni
vigimu sana kuwa na mafanikio na uimara katika maisha yako,hivyo tunawahitaji watu kama nyinyi ambao hamjui wapi
tulipo toka,mahali tulipo na tunapoelekea,mimi binafsi nasapoti kitendo walichokifanya chadema,kwani kimeibua mijadala mizito na imewafanya watanzania wautafute ukweli ni upi NA SIO KUSIKILIZA UONGO WA WANASIASA NA TUMELIONA WALE JAMAA AMBAO WATANZANIA TUNA MASHAKA NAO NDIO HAO WAMEPEWA HIZO NAFASI,kama chadema wasingefanya hivyo ungeandika nn
leo hii,hatutaki siasa legelege za kuoneana haya na kuogopana,hizi ndizo zinasababisha leo hii kodi yako ww na mm zinakwenda kuilipa dowans,baraza la mawaziri la kulipana fadhila,epa,richmonduli na mengineyo,bila kusahau siasa legelege za ccm ndizo leo hii zimezalisha serikali legelege ambayo ilishindwa kuendana na kasi na viwango vya wakati huu(samweli sitta) badala yake wakaona kama wanaandamwa,wanaonewa wivu,watu wana chuki binafsi,na kama unavyujua matokeo yake ni mm na ww ndio tunaogaramia huo uhanisi na usenge unaofanywa na wakoloni weusi wachache kwa manufaa yao,kama ungekuwa karibu yangu ningekubana utuambie unalipwa na nani,unanufaika vipi,kisha ningekupiga risasi hapo hapo,siku nyingine usirudie tena kuleta upupu wako humu ndani,kaandike kule kwako na payroll
yako isitusababishie ukali wa maisha wengine wasio na hatia mshnzzzzzzzzzzzzzzzzz wwwwwwwwwwwwwwww
 
Wakuu tuendelee kutumia majibu yenye hoja nzito ili wanaoleta upupu humu wawe wanajipanga vya kutosha pengine itapunguza thread zinazokera na zisizo na hoja za msingi kama hii,Tujenge nchi kwa hoja zitazoibua mambo yatayotoa mwelekeo bora wa Taifa letu.Aluta continua wakuu.
 
Mkuu,

Ijapokuwa Chadema wanawatuhumu CUF kuwa CCM B it remains to be just a mere accusations je ni sahihi kwa wao kuwatenga? Chadema kimekuwa chama kinachobeza ubabe zaidi kulikoni kujenga hoja zenye mantiki. Sasa unapojiona wewe uko sahihi ukakataa kujadiliana na upande wa pili huoni kama wanaendeleza ubabe wa CCM. Binafsi nakuunga mkono maggid kwamba this is the beginning of the end of chadema na wanajenga maadui zaidi ya allies katika uwanja wa kisiasa.

uwanja gani wa siasa??? hivi hapa Tanzania kuna siasa gani ya maana??? siasa za wizi wa kura au?? siasa za kuabdilisha badilisha vigezo bungeni kwa manufaa ya mafisadi?? SIASA..............?????????????? TANZANIA HAKUNA SIASA KUNA UPUUZI TU UNAONDELEA - TANZANIA WANASIASA NI CHADEMA TU - CUF, KAFULILA NA NCR YAKE NI VIBARAKA WA CCM - BOOT-LICKERS - SHAME ON THEM! - yes i said it.
 
Its true kwamba ni accusation lakini ni accusation kubwa ambayo kama inaukweli ndani yake hakuna jinsi hawa watu wanaweza kufanya kazi pamoja..., so is it worth it to take the risk..? kuna mambo ambayo ukihisi tu, kwamba mwenzako hauko nae basi there is no point kuwa na uhakika 100% au kuprove..., sababu you might end up with the knife at your back...

Am sure hata wewe ukisikia mtu ana sifa za womanizer hautataka ndugu yako wa kike asogee pale.., Hata kama hautakuwa na proof ya kutosha... Sasa basi ushirikiano wa CUF na CCM Zanzibar kwangu mimi ni proof tosha ya kuraise my eyebrows..., By the way am not Chadema just patriotic na Mwanamageuzi wa ukweli aliyegundua kwamba CCM ni Cancer ya Maendeleo

VOR,

You have a point it really goes down to the issue of trust. Lakini, je unadhani Chadema na CUF wakitengana nani atakuwa anaikosoa serikali. Umeniuliza kama nikisikia kuna mtu anapenda wanawake basi sitataka mdogo au mtoto wangu wa kike amsogolee but nadhani binafsi sitafanya hivyo. Nitapima uhusiano baina mwanangu wa kike na huyo womanizer ukoje? Kama ni uhusiano unaopelekea kwenye maangamizi sina namna. Ila kama ni uhusiano wenye faida kwanini niukatae? Mfano unaufahamu vizuri msemo unaosema baniani mbaya kiatu chake dawa? Sasa kama chadema hawaamini wamepima athari za kuwa nao na kutuungana nao kwa maslahi ya watanzania? au wameangalia maslahi yao binafsi? Ukisoma report yao iliyotolewa na Dr Slaa kigezo cha kuitenga CUF, ni kwasababu wameunga serikali ya kitaifa zanzibar basi. Sasa kwa mtu ambaye hana biasness yeyote ataona wazi kuwa ilikuwa ni just a political factor waliangalia katika kufikiria ushirikiano na vyama vyengine vya kisiasa wanasahau sisi wananchi ndio tuliwapigia kura pale kwenye jua kali ili wao waingie mjengoni. Swali langu je Chadema move ina uzalendo wowote kwa watanzania?
 
maggid wewe ni m.s.e.n.g..! I said it, and I meant it!
Mods kama ni kunifungia, fanyeni hivyo. Uvumilivu umefika kikomo! siwezi kujisababishia ugonjwa wa moyo kwa kuendekeza upuuzi unaoendelea kupambwa Tanzania.

Ndiyo unataka kunif.ira?


Nadhani MODS hawa wanahitaji ushauri wa kiutendaji maana siku hizi JF kuna watoto wengi sana na watu wasio na ustaarabu kama huwezi kujadiliana si uondoke tu matusi kama haya sasa yanafaida gani?
 
uwanja gani wa siasa??? hivi hapa Tanzania kuna siasa gani ya maana??? siasa za wizi wa kura au?? siasa za kuabdilisha badilisha vigezo bungeni kwa manufaa ya mafisadi?? SIASA..............?????????????? TANZANIA HAKUNA SIASA KUNA UPUUZI TU UNAONDELEA - TANZANIA WANASIASA NI CHADEMA TU - CUF, KAFULILA NA NCR YAKE NI VIBARAKA WA CCM - BOOT-LICKERS - SHAME ON THEM! - yes i said it.

Preacher,

Sasa kama kuna kuchakachua na ufisadi unadhani Chadema, CUF, NCCR na wengineo wakipingana ndio wataweza kutusaidia??? Kuna methali moja inasema Vita vya Panzi Furaha kwa Kunguru anayefaidika hapo ni CCM hakuna mwengine I said it yes.
 
Ndugu , (Maggid),
namnukuu japao si neno kwa maneno,
HAKUTA KUA NA NIDHAMU BUNGENI AU KTK KAMBI YA UPINZANI ENDAPO CHADEMA KITALIZIMISHWA KUUNGANA NA VYAMA VINGINE (CCM INCLUSIVE MY IDEA!!!) KAMA WANATOFAUTIANA KIMSINGI NA MSIMAMO!!!!! FULL STOP HATUTAKI NO NO NO NO.Maggid kamsilize tena Dada MDEE labda utapata hapo kitu kwa faida ya wasomao blog yako!!!!
 
now i get your true color maggid,ume upeleka ubongo wako likizo!
COme to your self,if you still exist anyway
 
Nimesoma kwa makini magazetini habari kuhusu sakata la wabunge wa CHADEMA kutoka nje ya ukumbi wa Bunge jana jioni. Hakika sikuona mantiki wa walichokifanya mbali ya CHADEMA kuanza kutengeneza ombwe la upinzani wenye maana uliotarajiwa na Watanzania wengi.
Majid, hivi nani waliotengeneza ombwe la upinzani katika hili, CDM ambao walipata ridhaa ya wananchi na kuruhusiwa na kanuni zilizokuwapo kuongoza kambi rasmi na kamati za hesabu, au CUF+NCCR na wengineo ambao waliona kuwa wao walistahili zaidi kuongoza kamati hizo kiasi cha kubadili kanuni za bunge(kwa kuwezeshwa na CCM) ili waongoze kamati na wao?

Ni wazi ukweli unaujua kuwa ombwe hilo la upinzani limeletwa na NCCR,CUF,UDP na TLP kwa wivu wao na kuendekeza zana potofu ya 'tukose wote'.

Ninaanza kutilia shaka nia yako katika mageuzi ya kweli TZ si kwasababu umeikosoa CDM bali kwakuwa unatoa hitimisho potofu (eti CDM wamepoteza muelekeo, eti CDM ni wachoyo wa madaraka kama Kafulila alivyodai n.k) kwa kulazimisha ambacho hakipo kionekane kuwa kipo. Ni vyema ukatujulisha waziwazi kuwa wewe ni kada wa CCM na hiyo ndio itikadi yako, tusinge poteza muda kubisha hoja zako pindifu kwani tungejua kwa hakika ni political orientation yako.
You truly have a long way to go and so much to learn from your senior brothers/colleagues such as Jenerali, Rioba and the likes!
 
Back
Top Bottom