Kilichojiri viwanja vya Mabibo - kongamano la vijana wa CHADEMA

Kiresua, kama unatumia simu, sijui imekaaje maana sijawahi kutumia simu kuweka picha.

Ila kama ukiangalia juu ya hapo unapoweka maandishi, unaona kuna vidude vingi. Mstari wa chini kuna letter B, I, U, na alama nyingine zinafuata, ns nenda hadi kwenye alama ya 6 kutoka kushoto imeandikwa na ukisogeza mshale wa mouse, utaona neno linatokea INSERT IMAGE na ukibonyeza hapo itakupeleka kwenye Ku-Attach picha..
mimi nikifata hayo maelezo huwa napata sehemu ya kuweka link ikiwa na maana picha iwe imekuwa-uploaded ndiyo niweke link yake..je hii imekaaje.
 
Thank you sana watu wangu..
Big thank you to Kiresua kwa kutuwezesha kwenye hizi taarifa.

Ushauri
Tunaomba CD za matukio muhimu kama hayo ziwe documented na ziwe zinauza hata kama ni kwenye ofc za vyama sisi tutazifuata humo ili kua tunajielimisha zaidi.
Pia tuliomba tshirt zitengenezwe na kuuzwa mpaka sasa hatujapata majibu....Tafuteni sehemu ya kuprint tshirt jamani za matukio mbali mbali na ujumbe mbali mbali kama vile...NO TO DOWANS....PEOPLES POWER etc.

Msipobuni vyanzo vya mapato mtashindwa kufikia malengo ya kuelimisha wananchi pale ukata utakapo kitembelea chama...Hata kama mtakua mnachangisha majukwaani lakini itakua rahisi zaidi kama mtu anatoa elfu 10 au 20 na kupewa some zawadi.
 
Hivi hakuna mdau anayefanya kazi ITV/TBC, etc awe anatupa full videos za haya majambos.... am sure watakuwa nayo wameirekodi alafu wanazifanyia editing... wakuu sharing is caring.....
 
Thank you sana watu wangu..
Big thank you to Kiresua kwa kutuwezesha kwenye hizi taarifa.

Ushauri
Tunaomba CD za matukio muhimu kama hayo ziwe documented na ziwe zinauza hata kama ni kwenye ofc za vyama sisi tutazifuata humo ili kua tunajielimisha zaidi.
Mimi nimekuwa nikishauri hii issue kila siku mpaka vidole vyangu vimechoka kutype kwenye keyboard...., hii hotuba/message ya Dr. leo ni ujumbe tosha na elimu tosha..., tuache kuishi kwenye old stone ages.... kuburn dvd cost yake haifiki hata 300/= pia kuna vitu kama youtube.. kwanini CHADEMA wasiwe na account huko..., na wakaupload kila kitu am sure wakilipia kidogo wanaweza hata wakaupload big files...., please tutumie technology iliyopo.., tunabaki kulaumu kwamba TBC/ITV hawatuonyeshi wakati sisi wenyewe hatutaki kujionyesha...., please do the neadful
 
Sasa Wananchi Tunaona Kitu gani CCM wanafanya mikutano ndani ya Ofisi kuu ya nchi yetu wakati wananchi tunajadili maswala ya taifa letu hadharani. Mkweli ni nani sasa? Mwisho wa CCM ndio huu. Wakilipwa Dowans na JK Aandae begi lake moja na mke wake na watoto wake waondoke Tanzania...
 
Nafikiri kama mkutao hu ungeanza kutangazwa mapema, pasingetosha. Nimeckia wenyeji wakisema umefanyika pale kwa sababu kuna diwani. Vijana walihamasika hawakutegemea. Mfano mm nimejua sa tisa na robo nikiwa nimejilazja kwenye makoch, kilchofuata hakikuhitaji mjadala, jinz kiunon sendoz mguuni, kuaga na kuishia... Ile ni homa nchi

Asante sana. Walau tumehudhuria kwpitia juhudi zako. Umefanya kazi kubwa.
 
Duuuuuhh, i see why CDM is only party can lead us, yaani wengi na wana imani
nilifikiri baada ya uchaguzi kuibiwa kura, wapendwa tutabaki wachache, kama
wameongezeka vile, mmmhh CCM kazi wanayo, amini usiamini, wanahofuuuuuuu
sana hivi sasa maana najua UDOM, Mkwawa, UDSM wote CDM or almost 95%,
na lengo lao ni moja tu, kupamabana na mafisadi na wanataka maendeleo,
pure & simple
 
sasa nimeanza kuyaona maisha ktk mwanga boraaa CHADEMA ipo kwa ajili yaukombozi wetu.
 
Makongamano oyeee yaongezwe zaidi na zaidi na zaidi kila kona ya Tanzania Mungu yuko nasi Mungu awajalie Rehema na Nahema Viongozi wetu
 
Hili mnapaswa kulijua, dr Slaa alisema ukimsikia raisi wa nch ana lalamika udini udini, halaf hachukui hatua anategeme raiya tufanyeje? Ni ushahidi kuwa ana ajenda ya siri, wakati wa Rais mstaafu mwinyi Mh. Ilifikia hatua hata wanataka kuwe na viwanja vya waislam na wakristo, lakin hukuwah kumsikia analalamika hadharani alichua hatua mambn yakaisha. Ndo maana wala nguruwe hawapeleki nguruwe nyumbani kwao, maana hajui mgeni gani atakuja, kama akija asiyekula pork kwa imani yake naye ashiriki chakula, kwa sababu hiyo nguruwe wanabaki kitimoto centers, wanaliwa huko. Huo ndo udinii? Nikampa dole dr


Hata Kuku sisi huwa tunatafuta mwislamu wa kutuchinjia na tunamlipa Tshs100 ili tukipata mgeni wa kislamu aweze kupata msosi pamoja, we know tolerance sisi wananchi
 
Duuuuuhh, i see why CDM is only party can lead us, yaani wengi na wana imani
nilifikiri baada ya uchaguzi kuibiwa kura, wapendwa tutabaki wachache, kama
wameongezeka vile, mmmhh CCM kazi wanayo, amini usiamini, wanahofuuuuuuu
sana hivi sasa maana najua UDOM, Mkwawa, UDSM wote CDM or almost 95%,
na lengo lao ni moja tu, kupamabana na mafisadi na wanataka maendeleo,
pure & simple
Kaka wanasubiri uchaguzi ukifika wafunge vyuo kusingizia intelligensia na fujo ili wanafunzi wasipate fursa ya kupiga kura kwenye vituo walivyo jiandikisha.
Hapo tuwe makini!! Wizi siyo lazima wachakachue ni pamoja na kutunyima haki zetu
 
Back
Top Bottom