Recent content by Lyangalo

  1. Lyangalo

    JamiiForums Tanzania Kuhamishia wanyama huko Burigi: Neema kwa Rwanda

  2. Lyangalo

    JamiiForums Tanzania Polepole: CCM Itashindwa Iwapo Uchaguzi utakuwa wa Haki na Huru

    Mbona haijakamilika?
  3. Lyangalo

    JamiiForums Tanzania Hivi wataalam wa kilimo toka SUA wana impact gani! Mbona hawasikiki?

    Ulishakwenda kwenda kupmba ishauri wakakunyima? Usikimbilie kulaumu watalamu kama huna ufahamu. Kwa kifupi kilimo endelevu ni muunganikano wa watalamu, wakulima na serikali. Sasa chambua hapo iyajua wapi pana tatizo
  4. Lyangalo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Prof. Kitila A. Mkumbo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji

    Hii post onafaa wahandisi na si vinginevyo
  5. Lyangalo

    JamiiForums Tanzania Watumishi sasa kuhakikiwa majina

    Hebu toa ufafanuzi mkuu! Kwani walipokuwa wanahakiki vyeti walikuwa hawaangalii majina. It should be a joke.
  6. Lyangalo

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa na Maalim Seif Shariff Hamad Wafanya Mazungumzo Hali ya Kisiasa Zanzibar

    Wewe ni wa Prof. Lipumba, huyu alikataa kuwa mpambanaji wakati anahitajika vilivyo. Akaona afadhali ajiuzuru. Huyu hafai hata kuwa baba atakimbia familia wakati wa dhiki.
  7. Lyangalo

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Maswali yangu kwa Jaji Mtungi, wa vyama vya siasa

    Ni maswali mazuri sana ambayo msajili inampasa kuyajibu. Ni matumaini yangu atakuja na vifungu vya ccm kujibu.
  8. Lyangalo

    JamiiForums Tanzania "A US election is a global election" - Francois Hollande

    Hahahahaha. US baby has said it all!
  9. Lyangalo

    JamiiForums Tanzania Usipodai risiti jela miaka mitatu au faini ya shilingi milioni 3

    Mmmmmh. Kazi tinayo. Inabidi wafanye upanuzi wa magereza. Maana nina uhakika sheria ya mtandao pamoja na hii mpya inayokuja zitatupeleka huko. Kwa mawazo yangu wangehanhaika na wafanyabiashara na si waninuzi.
  10. Lyangalo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tembelea barabara ya Veta-Keko

    Bado Ni waziri WA ujenzi.
  11. Lyangalo

    JamiiForums Tanzania Swali na Jibu: Kwanini Wanamnyemelea Magufuli?

    Kwanini asifanikiwe? Katiba inampa madaraka hayo. Hakuna aliye juu yake zaidi ya Mungu tu. Hivyo hatakiwi kutishwa. Akiogopa basi ayakuwa amependa. Na maombi yetu yatamhukumu.
  12. Lyangalo

    JamiiForums Tanzania Kuibuka sasa kwa kashfa ya LUGUMI ni mpango wa Mungu Watanzania wamjue waliomuamini na kumsifia

    Kuna visivyotumbulowa Tz, otherwise tungekuwa mbali sana. Si mnakumbaka mtuma message kuwa mita zifunguliwe? Mtumiwa alitumbuliwa, mtumaji anapeta.
  13. Lyangalo

    JamiiForums Tanzania Niwe na PhD kukubali gharama za mradi wa Daraja la Kigamboni??

    Tanzania ilishaliwa vya kutosha. Inaonekana garama ya kujenga daraja la kigamboni ni mara kumi zaidi ya lile la china. Hata kama utaweka kugaramia usafiri wa vifaa hatumezi kufikia hicho kiasi cha nssf. angalizo, yawexzekana daraja la kigamboni ni pana mara nne zaidi ya china! Yericko toa...
  14. Lyangalo

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari wa DW aliyetekwa apatikana

    Alikataa kuhongeka nini? Maana taarifa zinazotakiwa kutoka zenj lazima ziwe zinasifu tu.
  15. Lyangalo

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uchaguzi wa Marudio visiwani Zanzibar - Machi 20, 2016

    Naangalia uchaguzi huu kwa jicho la tatu. Utaonyesha kiasi halisi cha kura ambazo ccm huwa wanapata. Hii itasaidia kujua kura za cuf.
Back
Top Bottom