Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,739
- 40,864
Unaweza pia kurejea mada yangu ya Feb 9, 2016 ambayo nayo inaendana na maudhui ya leo. Mada ile inasema Swali la Ugomvi: Ni Kina Nani WAsiotaka Mafuguli Afanikiwe na Kwanini?
mwanakijiji ushafirisika kwa hoja wanaokusoma ni mahayawani wenzio
Dynamics zitabadilika sana JPM akipewa ile kofia ya pili. Only then tutajua mbivu zipi mbichi zipiPasco utasubiri sana Magufuli ashindwe
Hivi hajakimbia nchi bado? Hatuwezi kumuachaMimi namlaani tu Kikwete kwa kuendekeza ufisadi hadi mafisadi kujiona ni haki yao kufanya ufisadi.!
Huu mchezo hauitaji hasira bibi. Lowassa is done ata ulie machozi ya damu na Magufuli anatuvusha ata ukaroge kwa mganga wako.Kweli umefyatuka maana sijaona substance, nimefika 3/4 ya clip sijaona substance. Wewe umesema mpinzani ana wajibu na haki ya kumpinga magufuli sasa unashangaa nini Kaunga akisubiri Magufuli ashindwe aseme? Au kwavile sio diwani au mjumbe wa serikali ya mtaa ndio maana unamuona si mpinzani? Nafikiri unapenda kujisikia sauti yako na si kingine. Tafuta hobby nyingine tafadhali, na by the way andika hadithi za mapenzi itasaidia zaidi kuliko makala ambazo Godknowshowmanytimes unarudia kitu kile kile Lowasa. Alichokutenda Lowasa kimeingia hadi kwenye gene, pole kwa watoto wako maana wamepandikizwa Lowasa phenomenon tangu viunoni mwako, if you know what I mean.
Why do you care in the first placeDynamics zitabadilika sana JPM akipewa ile kofia ya pili. Only then tutajua mbivu zipi mbichi zipi
Because I am a Tanzanian. Just as you would have cared when a mosquito bites you I care when CCM revolves around meWhy do you care in the first place
Huyu Mzee Kwishnei siku nyingi tu~!Mwanakijiji ushafilisika kwa hoja; wanao kusoma ni mahayawani wenzio
Huyu jamaa zamani alikuwa vizuri sana siku hizi amegeuka kuwa mpiga vigelegelemwanakijiji unarudi kuwa mtoto kila siku yaani umekuwa kama akili zinarudi nyuma badala ya kupanuka sijui una matatizo gani,nadhani kuna mtu anatumia ID yako si bure unajaza tu sever za JF kwa kuandika vitu visivyo na tija kwa taifa