Aisee hebu acha ulofa. Sasa hii ndio news alert gani?Nakuomba Mh. Rais ufanye kama umekosea upite njia ya kwenda uwanja wa Taifa maeneo ya keko,utashangaa na kujiuliza kama una watendaji kwenye serikali yako.Ni mahandaki yapo barabarani na sio mashimo tena.
Foleni nyingine tunajitakia.
Hiyo barabara haina umuhimu, yenye umuhimu ni kwa mzee wa upako.Nakuomba Mh. Rais ufanye kama umekosea upite njia ya kwenda uwanja wa Taifa maeneo ya keko,utashangaa na kujiuliza kama una watendaji kwenye serikali yako.Ni mahandaki yapo barabarani na sio mashimo tena.
Foleni nyingine tunajitakia.
Subirini kidogo bado anagawa Sukari bureHii barabara inatia aibu mno..! Licha ya kutia aibu pia inatengeneza foleni za kijinga, pia inaharibu magari na kuyachakaza kwa haraka sana.., pia inaharibu mandhari ya eneo husika..., yaaani inakera sana.., inaleta matatizo ya kisaikolojia na stress kwa watumiaji..., hivi Mbarawa hizi kodi mnazotukamua mnafanyia nini kwani?! maana safari za nje na mishahara hewa tumeshakaba, makontena tumekaba.., sasa mtasingizia nini kwa hii barabara kutia aibu kiasi hiki???
Tumelipokea na tutalifanyia kazi kabla ya kampeni 2020Hii barabara inatia aibu mno..! Licha ya kutia aibu pia inatengeneza foleni za kijinga, pia inaharibu magari na kuyachakaza kwa haraka sana.., pia inaharibu mandhari ya eneo husika..., yaaani inakera sana.., inaleta matatizo ya kisaikolojia na stress kwa watumiaji..., hivi Mbarawa hizi kodi mnazotukamua mnafanyia nini kwani?! maana safari za nje na mishahara hewa tumeshakaba, makontena tumekaba.., sasa mtasingizia nini kwa hii barabara kutia aibu kiasi hiki???
Kwani keko kuna kanisa la upako? Ukitaka atambelee fungueni kanisa la upako
Sawa hata hiyo ya Kibangu ni aibu tupu..!Hiyo barabara haina umuhimu, yenye umuhimu ni kwa mzee wa upako.