Polepole: CCM Itashindwa Iwapo Uchaguzi utakuwa wa Haki na Huru

Nipo toiet jamani nimemaliza kujisaidia lakini kila niki-google toilet paper yanakuja maelezo.Hawa jamaa ipo siku wata-google mpaka wapiga kura na hawataambulia kitu.
 
Polepole Humphrey ameitabiria CCM kushindwa iwapo uchaguzi utakuwa wa haki na huru



Pole pole kamanda bwana, ana akili sana na msomi mzuri sana. Kauli hizi alizitoa wakati kukiwa na dalili kwamba huenda CCM wangempitisha Lowasa kusima kwa tiketi yao. Maadamu CCM haikuthubutu kumsimamisha Lowasa hiyo kauli ya polepole inakuwa haina maana.
 
Back
Top Bottom