Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,998
- 20,359
China wamefungua daraja lenye urefu wa km 41.3 baharini na limegharimu USD 1.4B...
Daraja letu la Kigamboni lina urefu wa mita 600 baharini na limegharimu USD million 136 - 218.
China: 1,400,000,000÷ 41300=
33,898.305085 USD, kwa Ujenzi wa mita moja ya Daraja China.
Tz: 218,000,000÷600=
363,333.33 usd kwa ujenzi wa mita moja ya daraja la Kigamboni Tanzania
Muda wa ujenzi kwa madaraja yote ni miaka minne kila moja, Analysis ya muda uliotumika kwa km 41.3 ni sawa na mita 600.
Kwakutumia uwiano sahihi wa China kwa ujenzi wa daraja la Kigamboni lililojengwa na Wachina, ilitakiwa kuwa hivi:
33,898.305085 x 600=
NSSF huenda ipo sayari nyingine sio hii iitwayo dunia.
Maajabu yataisha lini Tanzania?
Rais alituomba tumsaidie majipu, haya Ngosha hapa kazi tu.....