Recent content by Lyaka mlima

  1. Lyaka mlima

    JamiiForums Tanzania Can anyone guess who's the next Tanzania's President?

    Mrisho Gambo will fit a bill
  2. Lyaka mlima

    JamiiForums Tanzania UDSM ni chuo dhaifu sana Afrika "Aibu kwa nchi"

    Ngono tu hapo hall 2, na hall 3 Pia siasa zimejaa siku hizi kuliko kazi
  3. Lyaka mlima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mawazo kidogo naomba kwa aliyepitia fasihi naumbuka.

    Naaaaam karibu
  4. Lyaka mlima

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ampa zawadi ya Tsh 10 milioni mhudumu wa ofisi yake mama Kavishe kwa utumishi uliotukuka!

    Ukabila ,RC akiwasema mnajaa povu
  5. Lyaka mlima

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Kiswahili kinapotoshwa, neno Fisadi maana yake ni mtu anayetongoza wake za watu

    Ufisadi ni kila uharibifu, zinaa ni katika mafisada, wizi ni katika mafisada.. Ufisadi waweza kuwa material things au pia spiritul things, eg kuabudu miti, wanyama, na mizimu ni katika ufisadi pia. Hapa naongelea etymology ya neno المفسدة/ kwa waarabu hukusudia hivyo. Amma kwa waswahili huenda...
  6. Lyaka mlima

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Kiswahili kinapotoshwa, neno Fisadi maana yake ni mtu anayetongoza wake za watu

    Kuchakachua kwa lugha ya kiingereza ni fraudulent siyo lazima iwe kimiminika bali hata unga mzuri ukiuchanganya na mbovu.
  7. Lyaka mlima

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Kiswahili kinapotoshwa, neno Fisadi maana yake ni mtu anayetongoza wake za watu

    Ufisadi/Fasada/المفسد ni uharibifu bila kujali wa aina gani,mzinifu ni fisadi maana anaeneza uharibifu katika jamii, mwizi ni fisadi maana anawadhuluma na anakula mali za watu kwa batili, kusengenya ni ufisadi maana maafa yaweza kutokea kwa sababu ya kusengenya, hivyo ufisadi ni kila aina ya...
  8. Lyaka mlima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupitia Profesa Kabudi leo nimejifunza leo nimejifunza maneno haya ya Kiswahili

    Oook
  9. Lyaka mlima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je neno''Kusondeka ndani'' ni Kiswahili Sanifu?

    Any way lugha hukua na kuenea , maendeleo hayana vyama tumuunge mkono mkulu
  10. Lyaka mlima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je neno''Kusondeka ndani'' ni Kiswahili Sanifu?

    Kusondeka ndani maana yake ni kuwajaza ndani wote, yaani kusondeka hutumika kuashiria ujazo uliopitiliza kiwango
  11. Lyaka mlima

    JamiiForums Tanzania Hivi Zanzibar inaongozwa kidini?

    TBC HAWAONESHI PASAKA KWANI ?
  12. Lyaka mlima

    JamiiForums Tanzania Watu waliokufa kipindi ambacho hata dini ya ukristo na uislam hazijaanzishwa wako wapi kama tunajiaminisha kwa kusema dini humfanya mtu kuona pepo?

    Dini ilianza kabla ya mwanadamu. Nabii Aadam Alayh salaam alikuwa muislamu na wote waliofuata walikuwa waislamu. Ama kuhusu ukristo ni dini za watu hasa warumi ndio dini yao wala hata mungu haijui
  13. Lyaka mlima

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mamlaka za Tanzania hadi sasa hazijatangaza kuwa Mama Maria Nyerere ameugua ghafla na kalazwa Uganda?

    Wewe ni msemaji wa familia ya mama maria nyerere? Watch it and be carefully!
Back
Top Bottom