Prof Kabudi: Kiswahili kinapotoshwa, neno Fisadi maana yake ni mtu anayetongoza wake za watu

Maana si hii hapa
Screenshot_20190613-104316.jpeg
 
Ufisadi ni kila uharibifu, zinaa ni katika mafisada, wizi ni katika mafisada..
Ufisadi waweza kuwa material things au pia spiritul things, eg kuabudu miti, wanyama, na mizimu ni katika ufisadi pia.

Hapa naongelea etymology ya neno المفسدة/ kwa waarabu hukusudia hivyo.

Amma kwa waswahili huenda wamelipunguzia matumizi yake, na hii ni athari ya kutohoa maneno kwa kuingiza au kutokuingiza visawe katika lugha lengwa.
Ufisadi hasa ni uharibifu wa mali na maisha ya viumbe (material things)-- uzinzi na wizi nk, huo hauitwi ufisadi.
 
Ufisadi ni kila uharibifu, zinaa ni katika mafisada, wizi ni katika mafisada..
Ufisadi waweza kuwa material things au pia spiritul things, eg kuabudu miti, wanyama, na mizimu ni katika ufisadi pia.

Hapa naongelea etymology ya neno المفسدة/ kwa waarabu hukusudia hivyo.

Amma kwa waswahili huenda wamelipunguzia matumizi yake, na hii ni athari ya kutohoa maneno kwa kuingiza au kutokuingiza visawe katika lugha lengwa.

Sikumbuki vyema neno zuri la kiarabu linakoweza kutumika
Ufisadi ni kila uharibifu, zinaa ni katika mafisada, wizi ni katika mafisada..
Ufisadi waweza kuwa material things au pia spiritul things, eg kuabudu miti, wanyama, na mizimu ni katika ufisadi pia.

Hapa naongelea etymology ya neno المفسدة/ kwa waarabu hukusudia hivyo.

Amma kwa waswahili huenda wamelipunguzia matumizi yake, na hii ni athari ya kutohoa maneno kwa kuingiza au kutokuingiza visawe katika lugha lengwa.

Nimesoma mahali na nimeona upo sahihi mkuu. Shukrani.🙏🏻🙏🏻
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom