Can anyone guess who's the next Tanzania's President?


M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
5,756
Points
2,000
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
5,756 2,000
Kama tunataka viongozi wabunifu na wachapa kazi basi naona Makonda au Jaffo fits the bill.
Hivi huyu jamaa wa Dar anasifiwaga sana, kabuni nini hasa ambacho ni remarkable?
 
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined
Oct 31, 2006
Messages
576
Points
500
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined Oct 31, 2006
576 500
Sijui nani atakayekuwa Mhe. Rais afuataye, lakini napenda awe Mhe. Mama Samia Suluhu:

1. Kuimarisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar (kufikia 2025 itakuwa miaka 30 toka Jamhuri iongozwe na Rais Mzanzibari).
2. Anatokea Pwani ya Bahari (Nyerere (katokea bara); Mwinyi (pwani); Mkapa (bara); Kikwete (pwani): Magufuli (bara); Suluhu (pwani).
3. Ataendeleza mzunguko wa Rais mkali kufuatiwa na mpole. (Nyerere (mkali); Mwinyi (mpole); Mkapa (mkali); Kikwete (mpole): Magufuli (mkali); Suluhu (mpole). Mzunguko wa ukali na upole unawezesha wananchi kutulia na kufurahia maisha.
Of course, 'ukali' na 'upole' ni vitu subjective.
 

Forum statistics

Threads 1,294,751
Members 498,027
Posts 31,186,965
Top