Kupitia Profesa Kabudi leo nimejifunza leo nimejifunza maneno haya ya Kiswahili

BenKaile

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Messages
429
Points
500

BenKaile

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2014
429 500
1. Head of Department - Mudiri wa Idara "ya"

2. Dean of School - Amidi wa Shule kuu

3. Dean of Faculty - Mtiva wa Kitivo "cha"

4. Collage - Ndaki

5. Principle - Rasi

6. Principle of Campus Collage - Rasi wa Ndaki
 

Forum statistics

Threads 1,379,275
Members 525,347
Posts 33,740,840
Top