UDSM ni chuo dhaifu sana Afrika "Aibu kwa nchi"

Aibu kwa lipi sasa, kwani wewe ulitaka kiwe cha ngapi?
Miaka ya nyuma mara moja kiliwahi kuwa cha 3 kwa ubora barani Afrika. Kwa sasa kila mwaka kinazidi kuning'inia. Naona hawa wapumbavu waliookotwa jalalani ndio walioifanya UDSM kuwa jalala badala ya kuwa chanzo cha maarifa na msingi wa mafanikio.
 
Chuo kikuu cha DAR ES SALAAM pamoja na kuwa ni chuo chenye kuchukua wanafunzi waliofaulu zaidi mitihani ya kidato cha Sita na baadhi ya wanafunzi kukilaumu chuo hicho kuwa na urasmu na upendeleo wa wazi kwa baadhi ya wanafunzi bado ni chuo kilicho nyuma sana miongoni mwa vyoo vikuu barani Africa.Baadhi ya viongozi wa kitaifa kupitia chuo hiki kuna haja ya kufanyà kila linawezekana kubadilisha hali hii na kujua chanzo cha kukifanya chuo hiki kubakia kuwa chuo dhaifu kwa utoaji wa elimu miongoni mwa vyoo barani Afrika.Kama wadau mnafikiri nini chanzo cha chuo chetu kubakia kuwa nyuma barani AFRICA na Africa mashariki na kati? Ingia mtandaoni utaona tuko nafasi ya ngapi.Tuko nafasi ya 36 kwa mwaka 2018-2019
Kabudi alipaita jalalani wewe ndo umepaita choo kabisa
 
Hoja yako ingekuwa na mashiko kama zamani kilikuwa nafasi za juu, kikashuka, au kwa vile UDSM, kilikuwa chuo kikuu cha kwanza Tanzania, sasa kimepitwa na vyuo vingine vikuu vilivyoanzishwa. Ukisema UDSM imeshika nafasi ya 36, unapaswa kusema kati ya ngapi, mfano hata kwenye football ranking ya Tanzania ni nafasi ya 36, lakini bado tunajivunia, na tumechanga zaidi ya milioni 300 jana kuwamotisha vijana wetu.

Kwenye GDP, Tanzania ni nchi tajiri kwenye top ten barani Africa, tukuchukua the top ten richest, Tanzania ndio ya mwisho.

Hivyo usikisimange chuo chetu, UDSM is still the best in TZ.
P
Mayala, hivi hujui kuwa UDSM miaka ya nyuma, mara moja kiliwahi kuwa nafasi ya tatu nyuma ya University of Cape Town na University of Alexandria?

Kuna wakati nimeenda pale, sikuridhishwa kabisa na kilichokuwa kikiendelea. Ikabidi nijivute hata kuzidi uwezo wangu, ili mtoto akasome Caoe Town maana UDSM siyo niliyokuwa nikiifahamu.

Nawashauri wazazi wenzangu, ukiona uwezo unaruhusu kidogo, jaribu kutafuta vyuo vya South Africa. South Africa, wanafunzi toka nchi za SADC, ada wanalipa kama wanafunzi raia wa South Africa. Kuna unafuu mkubwa sana wa ada ukilinganisha na kumpeleka Ulaya au America.
 
Baadhi pia ya wanafunzi wa hapo recently wamekuwa wakijilinganisha na vyuo vya ndani kama UDOM mara SAUT,badala wajilinganishe na vyuo vya nje kama Makerere,Nairobi University,Kwazulu Natal na vingine..hii inaonyesha ni jinsi gani kimeporomoka
 
Hoja yako ingekuwa na mashiko kama zamani kilikuwa nafasi za juu, kikashuka, au kwa vile UDSM, kilikuwa chuo kikuu cha kwanza Tanzania, sasa kimepitwa na vyuo vingine vikuu vilivyoanzishwa. Ukisema UDSM imeshika nafasi ya 36, unapaswa kusema kati ya ngapi, mfano hata kwenye football ranking ya Tanzania ni nafasi ya 36, lakini bado tunajivunia, na tumechanga zaidi ya milioni 300 jana kuwamotisha vijana wetu.

Kwenye GDP, Tanzania ni nchi tajiri kwenye top ten barani Africa, tukuchukua the top ten richest, Tanzania ndio ya mwisho.

Hivyo usikisimange chuo chetu, UDSM is still the best in TZ despite all the odds.
P
You mean the best among the poor

Hoja zako huwa zinanichekeshaga sana
 
Baadhi pia ya wanafunzi wa hapo recently wamekuwa wakijilinganisha na vyuo vya ndani kama UDOM mara SAUT,badala wajilinganishe na vyuo vya nje kama Makerere,Nairobi University,Kwazulu Natal na vingine..hii inaonyesha ni jinsi gani kimeporomoka
Elimu hawana, wako tu darasani
 
Vitu vilivyoweza kuipandisha sana UDSM ni utafiti asa wa REDET,mijadara ya Political Science, Historia,IDS,Botany pamoja na sheria. Leo hii mijadara na tafiti hamna ila FFU tupu. Alafu ata wanafunzi wa sasa pale UDSM aisee ni aibu full fashion buyers, vimodo na online kwa sana. Juzi kati nimefika apo UDSM kwa bahati nzuri ilikua siku ya uchaguzi lakini ndugu yangu nikapiga flashback miaka ya 2000,2004,2006,2007,20010 aisee niliona kua kuna tatizo. Nilionana na Bush ( Mtoto wa Mama Ntilie) tukateta kidogo ila nae nikaona mawazo yake kachoka na ana stress tu. Basi nilipita ofisi mbali mbali asa nilizoniusu kimasomo kweli ni hatari. Sikuishia apo,nikaenda mpaka Yombo -DARUSO .sasa yuko daah aibu. Kwa kuendelea zaidi ili nipate angalau ndogo ndogo kwa wanafunzi wengi ni woga na empty kabisa...Basi nikamalizia na wapiga picha ambao ni wakongwe sana kuanzia wapo Academic Bridge bahati nzuri wapo pale DARUSO ..Jamaa wakisema mengi na mmoja akasema yaani hiki kwasasa sio chuo,maana wakati wenu tunakumbuka kweli kilikua chuo na tulikuwa tunawaona kweli.
UDSM NI JALALA
 
Kiukwel mi nmesoma udsm ila walimu wasipobadili mtazamo wa kwamba vijana tunaoenda pale ni vichwa na wakawa wanatuacha kutuchkulia tunaelewa mambo bas kile chuo kitapotea.

Vyuo vingne walimu wana kaza wanajua wanafunz wao ni ma bogasi so wanawafundisha vzur na vijana wanafaulu na kudeliver kwwnye ajira
 
Vitu vilivyoweza kuipandisha sana UDSM ni utafiti asa wa REDET,mijadara ya Political Science, Historia,IDS,Botany pamoja na sheria. Leo hii mijadara na tafiti hamna ila FFU tupu. Alafu ata wanafunzi wa sasa pale UDSM aisee ni aibu full fashion buyers, vimodo na online kwa sana. Juzi kati nimefika apo UDSM kwa bahati nzuri ilikua siku ya uchaguzi lakini ndugu yangu nikapiga flashback miaka ya 2000,2004,2006,2007,20010 aisee niliona kua kuna tatizo. Nilionana na Bush ( Mtoto wa Mama Ntilie) tukateta kidogo ila nae nikaona mawazo yake kachoka na ana stress tu. Basi nilipita ofisi mbali mbali asa nilizoniusu kimasomo kweli ni hatari. Sikuishia apo,nikaenda mpaka Yombo -DARUSO .sasa yuko daah aibu. Kwa kuendelea zaidi ili nipate angalau ndogo ndogo kwa wanafunzi wengi ni woga na empty kabisa...Basi nikamalizia na wapiga picha ambao ni wakongwe sana kuanzia wapo Academic Bridge bahati nzuri wapo pale DARUSO ..Jamaa wakisema mengi na mmoja akasema yaani hiki kwasasa sio chuo,maana wakati wenu tunakumbuka kweli kilikua chuo na tulikuwa tunawaona kweli.
UDSM NI JALALA
Just imagine Mwanafunz anasoma hapo shahada ya kwanza, shahada ya pili,shahada ya tatu na mwisho wasiku hawezi kujieleza kwa English iliyonyoka hata sentences tano lkn cha ajabu zaidi hata kiswahili fasaha pia ni vita kwake hujui wapi pa kuweka R na wapi pakuweka L
UDSM NI ZAIDI YA JALALA
 
Chuo kikuu cha DAR ES SALAAM pamoja na kuwa ni chuo chenye kuchukua wanafunzi waliofaulu zaidi mitihani ya kidato cha Sita na baadhi ya wanafunzi kukilaumu chuo hicho kuwa na urasmu na upendeleo wa wazi kwa baadhi ya wanafunzi bado ni chuo kilicho nyuma sana miongoni mwa vyoo vikuu barani Africa.Baadhi ya viongozi wa kitaifa kupitia chuo hiki kuna haja ya kufanyà kila linawezekana kubadilisha hali hii na kujua chanzo cha kukifanya chuo hiki kubakia kuwa chuo dhaifu kwa utoaji wa elimu miongoni mwa vyoo barani Afrika.Kama wadau mnafikiri nini chanzo cha chuo chetu kubakia kuwa nyuma barani AFRICA na Africa mashariki na kati? Ingia mtandaoni utaona tuko nafasi ya ngapi.Tuko nafasi ya 36 kwa mwaka 2018-2019
Wewe umesomea chuo gani na kimekuwa ranked kwenye nafasi ya ngapi mbona unatoa povu la kikuda?

Mbona unahangaika tu na huna point ya msingi?
 
Mbona uelewi,huo sio uzalendo hata kidogo toa mchango wako ili chuo chetu kipande hadhi kimeshuka mno.
Tatizo siyo chuo tu.
Ni mfumo mzima wa elimu ulioharibiwa na maswala ya kisiasa.
Pale UDSM mkuu amemaliza/ameondoa sana lecturers. Amekuwa wengine akiwaappoint kwenye nyadhifa ambazo hata darasa la saba wamezitumikia.
Uccm umetawala kwenye mfumo mzima wa uongozi wa chuo mpaka serikali ya Wanafunzi DARUSO.
Kauli ya Kabudi nayo ni ya kikuda tu. Ni mtu anasumbuliwa na njaa njaa zake. Yaan yupo tayari kutukana ilimradi atetee kula tu.
Ifike hatua tuseme ukweli wa tatizo siyo unafiki tu wa kutetea ujinga na kukalia ukweli.
 
Back
Top Bottom