Hivi Zanzibar inaongozwa kidini?

Hivi Zanzibar inaongozwa kidini?

Hakuna watu wachafu kama wanzanzibari, kipindupindu lazima kila mwaka kiwepo ila hamtangazi, nimefika mara nne sokoni hakufai mainzi kila kona, sehemu za kulia ni uchafu tupu, unakuta mwanamke anaburuza na sijui mavazi ghani hayo uchafu wote aningia nao ndani afu anavua viatu, Wtf is that?

Tabia za kulana nyuma ndio mahala pake, afu mnajitia washika dini?

Mpaka mfumo wa elimu mmebadilisha eti mwarabu hakutumikisha waafrika ila mzungu?

Ha ha ha, endeleeni kuwatumikia mabwana zenu huku mkishika mkia kielimu kila uchao. Shame on you.

Tukianzisha Sensa ya wanaoliwa nyuma nahisi mkoa wa Dar hautakaribiwa.
 
Maauaji ni HULKA YENU tumalizeni sote ili ZANZIBAR iwe milki yenu kamili vyengineo MTAPATA TABU SANA
Mbona ruksa kuota ndoto mchana, Zanzibar hatukugawiwa kwenye sinia ila tulimwa damu zetu kumwondoa mwarabu ndipo tukaitwa.
 
Maauaji ni HULKA YENU tumalizeni sote ili ZANZIBAR iwe milki yenu kamili vyengineo MTAPATA TABU SANA
Hapana lengo letu tuwatoe utumwani watumbatu dhidi ya wavamizi na watesi wao waarabu
 
Maauaji ni HULKA YENU tumalizeni sote ili ZANZIBAR iwe milki yenu kamili vyengineo MTAPATA TABU SANA
Najua unaumia sana lakini wazanzibari weusi na ndio wenye nchi wanatushukuru sana na kutusupport kwa kile tulichomfanya mwarabu sasa wewe chukua pesa ya mwarabu harafu ujaribu kumrudisha ndipo utakapowajua wenye nchi watachokufanya.
 
Jamani mada zingine kwa karne hii hazina afya hata kidogo kwa Taifa letu. Uwe Mzanzibar au Mtanganyika WOTE SISI TAUNAUNGANISHWA NA TANZANIA HIVYO WOTE NI WATANZANIA. swala la dini kila mtu abaki DINI yake.
 
mkuu hivi hapa bongo mikoa ya kidini IPO kweli,,? hebu mf, mmoja wa mkoa mwingine mbali na huo hasa huku bara!
Tarime hakuna miskiti mingi. Hata sheikh wa kikulya utamsiki "SARAAMA REKO MURAAAA? nilicheka sana. Unaona kabisa huyu hajui anachokifanya.
 
Hamna tumeunganishwa kilo dhulma na kutaka kufuta utambulisho wetu ktk ramani ya DUNIA jambo ambalo hamtafanikiwa kamwe!!
Jamani mada zingine kwa karne hii hazina afya hata kidogo kwa Taifa letu. Uwe Mzanzibar au Mtanganyika WOTE SISI TAUNAUNGANISHWA NA TANZANIA HIVYO WOTE NI WATANZANIA. swala la dini kila mtu abaki DINI yake.
 
Najua unaumia sana lakini wazanzibari weusi na ndio wenye nchi wanatushukuru sana na kutusupport kwa kile tulichomfanya mwarabu sasa wewe chukua pesa ya mwarabu harafu ujaribu kumrudisha ndipo utakapowajua wenye nchi watachokufanya.
Mnashukuriwa na wale wasaliti mnaowahonga vyeo kinyume na hao wanakushukuruni WAZANZIBARA BUT kwa Wazanzibar mtasubir SANA
 
Zanzibar si nchi ya kidini bali asilimia kubwa ya wananchi wake ni waislamu hivyo wanaishi kwa kufuata mila, desturi na utamaduni wa kiislamu, sio tu waislamu hata watu wa imani nyingine walioishi Zanzibar kwa miaka mingi, wengi wao (Pamoja na kwamba si waislamu) lakini wanafuata desturi za kiislamu, mfano salamu, lugha na matamshi yake, mavazi (kuna wanawake Unguja jinsi wanavyovaa utafikiri wazanzibar lakini hapana, bali wanafuata tu desturi za watu wa huko na wanaendelea na dini/imani zao.

Kwa mfano
Kwa wakristo hasa (baadhi) maeneo ya bara, kuna sala/ibada ya jumuiya ambayo kikundi cha waumini hutembelea nyumba/kaya ya muumini fulani kwa ajili ya kufanya ibada ya pamoja. Hii ni desturi au utamaduni uliojengeka kwenye baadhi ya maeneo, sio sheria au amri ya serikali bali ni utamaduni wa kikundi au jamii fulani ya watu. Hivyo kwa mtu asiye na uzoefu wa kutembea maeneo mbalimbali nchini anaweza kudhani kwamba sala/ibada hii ya jumuiya inapaswa kufanyika kila mahali, kumbe sivyo, huo ni utamaduni wa eneo hilo au kikundi fulani cha watu.

Hivyo, kama watanzania tunapaswa kutambua kwamba Tanzania ni nchi kubwa na licha ya dini mbalimbali zilizopo nchini wananchi wake wana mila, desturi tofauti kutokana na historia na maeneo wanayoishi.

TUJIFUNZE KUTAMBUA NA KUHESHIMU MILA, DESTURI NA TAMADUNI ZA WENGINE, SI VEMA NA NI JAMBO LA HATARI SANA KUKEJELI MILA, DESTURI, TAMADUNI NA IMANI ZA WENGINE.

WENGI WENYE TABIA YA KUKEJELI DESTURI, MILA, TAMADUNI NA IMANI ZA WENGINE WANAPASWA WASAMEHEWE, KWANI KUNA UWEZEKANO MKUBWA KWAMBA NI MBUMBUMBU WASIOJUA WATENDALO
Hongera sana na Mwenyezi Mungu akuzidishie busara.
 
Kabla ya muungano Zanzibar ilikua nchi, Baada ya muungano Zanzibar ni mkoa,

Nchi ni Tanzania.
 
Sijawahi kuona kwa sababu hakuna, among all ndugu, friends, majirani na coworkers nisijue hata mmoja? U jokin
Nyinyi kizazi cha leo ndo mnaleta udini sana ukiangalia history ukiristu umekaribishwa na uislamu hapa kwetu ndo maana ukienda Bagamoyo Msikiti na Kanisa lipo pale soma vizuri history an Invasion of Missionaries nenda Ujiji katikati ya utitiri wa misikiti kanisa la David Livengstone lipo nenda Zanzibar utakuta hayo kwahiyo kizazi chetu tusome history vizuri
 
Mkoa wa Baba yako au wa Mama yako??

Hiv kama budget haifiki hata trilion 2 basi tuipe hadhi ya mkoa tu, mengine mnayotamani hamyawezi maana mkisema mnajitenga mtapata wap ardhi ya kuwapatia wazanzibari maana wanaoishi bara ni mara 2 ya wazanzibari wote. Wakiamua kurudi mtaikataa hiyo Zanzibar, bora mkubali kuitwa mkoa
 
TBC HAWAONESHI PASAKA KWANI ?
Umofya kwenu,

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, hivi huko Zanzibar wanaongozwa kidini au la? Maana naona mambo mengi ya kijamii, dini moja inaonekana kupewa kipaumbele.

Mfano vyombo vya habari ZBC zimeadopt taratibu za dini fulani kwa kuonesha ibada zao mara kwa mara.

Imenibidi niulize kwani Serikali huko visiwani ina dini?

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom