Recent content by LWAKAPISI

  1. LWAKAPISI

    NAPE na SITTA wakalia kuti kavu CCM

    CCM kilishakufa sasahivi mm naoan ni mzimu ndo unaoparate,kam ni kuvua magamba wote mle magamba sasa nanai aondoke na nani abaki?Nape yeye alipoambiwa wewe mwenezi akadhani maana yake aongee bila data wala research
  2. LWAKAPISI

    Lema kuwatoa wafungwa gerezani

    MKUU LEMA wewe kama mlezi wetu wa cdm tawi la udom,tuko nawe hadi kieleweke.PEOPLEEEEEEEEEEEEEES,POWEEEEEEEEEEEEEEER
  3. LWAKAPISI

    Lema kuwatoa wafungwa gerezani

    Lema saaaaafi sana,hata sie huku udom tuko pamoja nawe kama mlezi wa tawi la cdm udom,magamba lazima wakubali mziki.
  4. LWAKAPISI

    Wananchi wa Kwimba poleni sana

    sasa hivi bungeni yupo anachangia mhishiwa mansoor mbunge wajimbo la kwimba,anaunga hoja ya ngereja mkono,lakini maelezo yake anasema kati ya kata 15 zilizopo jimboni kwake ni moja tu yenye umeme,hivi kweli huyu ni mbunge au shati,ila sishangai sana maana ccm wengi wapo vile.poleni wanajimbo la...
  5. LWAKAPISI

    Walimu UDOM waikataa CWT

    inafika mahali naona bora dec kuliko cwt,yaani wafe kabisa,wezi wakubwa bora ya ccm
  6. LWAKAPISI

    Kuanguka kwa Dr Slaa

    Kweli ccm mmetumwa jamii forum,maana siku za nyuma hakukuwa na baadhi ya watu wenye mawazo mgando vile,dr slaa kama kaanguka basi jk kafa kaoza na harufu haipo tena,kilichobaki hata kichaa akija akawaambia nipe nafasi nitaokoa chama mnampa kama mlivofanya kwa nnape
  7. LWAKAPISI

    Hatimaye wanafunzi wote wa UDOM kitivo cha sayansi na jamii wamerudishwa nyumbani

    Halima mdee big up,huyo Azan Zungu walisema anauza madawa ya kulevya leo ndo tumejuaa kweli na bangi anatumia,kama anasema wanafunzi wanatafuta umaarufu je Kawambwa na Pinda walipoahidi field hewa wao wanataka nini?
  8. LWAKAPISI

    Hatimaye wanafunzi wote wa UDOM kitivo cha sayansi na jamii wamerudishwa nyumbani

    wanachofanya uongozi wa udom ni kuahirisha matatizo,hiki chuo siasa nyingi
  9. LWAKAPISI

    UDOM kuandamana kwenda Bungeni

    watafukuza hadi lini maana hata kitivo cha elimu taarifa zisizo rasmi ni kuwa kesho jioni wanalianzisha ili kushinikiza kupewa hela za field kabla ya tar 20.6.2011
  10. LWAKAPISI

    UDOM kuandamana kwenda Bungeni

    huko social sciences wanaosoma kozi ya uhusiano wa kimataifa wote wamesimamishwa kwa ujumla kule ni zaidi ya 200 wamesimamishwa,muda mhuu magari yasiyokuwa ya chuo hayaingii wala kutoka UDOM,FFU wamejaa
  11. LWAKAPISI

    UDOM kuandamana kwenda Bungeni

    John marwa na Gagurito inaonekana cpu za vichwa vyenu hazifanyi kazi kwa leo,au ndo nyie Nnape anasema ccm imewatuma mkachafue kwenye mitandao ya kijamii. Suala la msingi ni Udom kuandamana,mnaposema bila sababu eti migomo yao huwa ni disorganised mnamaana gani? mgomo gani wameufanya ukawa hauna...
  12. LWAKAPISI

    Tundu Lissu na Wenzake waachiwa kwa dhamana na masharti magumu

    fisadi mtoto wewe ni mpumbavu na ungekuwa uarabuni ungenyongwa
  13. LWAKAPISI

    Nape amefuata nini udom?

    hebu weka wazi,alikuwa college gani? maana huku education hajafika kwani huku mtu kama yule kuja lazima kungelipuka na angetolewa kwa kasi,maana amekuja kisiasa.Kama alikuwa social science huko nasikia ccm hamuitaki ila kusema mnaogopa!shauri yenu sie huku coed tayari ccm wanaishi kama wapo...
  14. LWAKAPISI

    Eti wanaohudhururia mikutano ya chadema nao ni umma!!

    Tolowski tambua kuwa bora wavuta bangi maana wanapga kura kuliko wanafunzi wa sekondari za kata mnaowapa kadi kwa lazima na hawana umri unaotkiwa,wakikua wanawajua ufiadi wenu matokeo kadi zenu wanazirudisha mchana kweupe
  15. LWAKAPISI

    kambi ya JWTZ Kaboya hapatoshi

    tatzo wajeda wetu wengi shule hawana ndio maana wanatumia nguvu ili waogopwe lakini kwa mtu mjanja hawana lolote zaidi ya ubabe kama wanaweza waende Libya wakazuie mashambulizi ya NATO
Back
Top Bottom