Eti wanaohudhururia mikutano ya chadema nao ni umma!!

Tolowski tambua kuwa bora wavuta bangi maana wanapga kura kuliko wanafunzi wa sekondari za kata mnaowapa kadi kwa lazima na hawana umri unaotkiwa,wakikua wanawajua ufiadi wenu matokeo kadi zenu wanazirudisha mchana kweupe
 
Kwenye kundi la watu wanaohudhuria mikutano mikutano ya chadema siwezi nikaita ni umma! Sababu ni kwamba hakuna uwiano sawa wa makundi ya jamii kama wanawake,wazee,vijana,walemavu etc! Ninaowaona kwenye mikutano ya chadema wengi ni vijana,tena ni wale vijana jobles and mapepe flan yaani wazee wa kulanduka! I can say chadema sio chama cha nguvu ya umma bali ni nguvu ya wavuta bange,si mnaona chadema inavyopendwa arusha,KITU CHA ARUSHA BALAA WOTE TWAKISIKIA! BORA MKUTANO WANGU UHUDHURIWE NA WENYE BUSARA 10 TU KULIKO WAVUTA BANGE 1000!
umma ni wewe,baba yako mamayako na dada zako ambao mmeshiriki kuibia watanzania masikini leo mmawaita wavuta bangi kwasababu ya unyonge na umaskini mmliowasababishia angalia yasije yakawakuta yaliyomkuta mfalme Luis wa ufaransa pale mke wake aliposhangaa kama watu wanaweza kuandamana kudai mkate wakati yeye keki anatupia nguruwe.
 
Aombe msamaha wakati amesema ukweli. Wanacdm wanasema CCM ni wizi, sasa je CCM wote ni wizi? Mbona hakuna hata mmoja wa wakereketwa wa CCM alikuja sema aombwe msamaha. Sasa nyie kuitwa wavuta bangi ndio iwe kesi. Acha hizo wewe. Unataka kusema SUGU sio mvuta Bangi?

wewe na mwenzako wote vichaa! Tatzo lenu mnaweka posts zenu either mkiwa mmelewa au akili zenu ndivyo zilivyo.unazani vijana wote wenye msimamo wavuta bangi,mbona hamfikiri zaidi ya hapo,hivi ccm ndo imewaaribu au mlikua majinga na vilaza toka zamani?
 
Kwenye kundi la watu wanaohudhuria mikutano mikutano ya chadema siwezi nikaita ni umma! Sababu ni kwamba hakuna uwiano sawa wa makundi ya jamii kama wanawake,wazee,vijana,walemavu etc! Ninaowaona kwenye mikutano ya chadema wengi ni vijana,tena ni wale vijana jobles and mapepe flan yaani wazee wa kulanduka! I can say chadema sio chama cha nguvu ya umma bali ni nguvu ya wavuta bange,si mnaona chadema inavyopendwa arusha,KITU CHA ARUSHA BALAA WOTE TWAKISIKIA! BORA MKUTANO WANGU UHUDHURIWE NA WENYE BUSARA 10 TU KULIKO WAVUTA BANGE 1000!

Una uhuru wa kusema lakini kwa hili umetukana kabisaaaaa....tafadhali fikiri kabla ya kuandika na sio lazima upost thread unaweze kuwa mchangiaji au mtazamaji. Nina wasi wasi na upeo wako wa kujenga hoja. Najutia huu muda wangu ninao poteza kujibu! nafikiri ni kuwa addicted na JF!!!
 
Tolowsky nadhani wewe ndiye unaye tumia mihadarati, tangu lini watu tuna baguana kwa chakula tunachokula, hebu tuzungumzie uvutaji wa bangi kwa mtu mwenye matumaini na maisha yake ni mazuri (MPO) anaweza kupuuzwa kwa sababu ya uvutaji wake wa bangi? Leo unawapuuza hawa kwa sababu ya umaskini wao uliosababishwa na ccm kweli ninapata hamu ya kuiopna ccm iki rest in peace yenyewe, wanachama na viongozi wake wamekosa busara
 
Go to hell tolowiski,ina maana mikutano ya ccm ina jaa wenye fedha,wenye nyadhifa,watu wa heshima zao nk..ndo maana ujue ccm inakosa watu mikutanoni maana mmewasahau watanzania walala hoi mkidhani sio hadhi yenu..acha wajae kwa cdm ndio hao hao wataleta mabadiliko...umesahau Tunisia ilipinduliwa kisa ni mmachinga mmoja????lets wait and see...
 
Huyu ni kada wa CCM. Haoni hatari kuwatukana Wtz kwani hata hiyo nchi yenyewe inauzwa rasilimali zake bila huruma na zinamnufaisha yeye. Wanajaribu kushawishi jamii kwa kupotosha ukweli lakini mambo bado ni mazito na yanazidi kuwa mazito. Time will tell.
 
Mungu akusamehe ujui ulitendalo,hongera kwa utajiri ulionao ila dhuruma ya watanzania itakulilia siku moja,
 
Kwenye kundi la watu wanaohudhuria mikutano mikutano ya chadema siwezi nikaita ni umma! Sababu ni kwamba hakuna uwiano sawa wa makundi ya jamii kama wanawake,wazee,vijana,walemavu etc! Ninaowaona kwenye mikutano ya chadema wengi ni vijana,tena ni wale vijana jobles and mapepe flan yaani wazee wa kulanduka! I can say chadema sio chama cha nguvu ya umma bali ni nguvu ya wavuta bange,si mnaona chadema inavyopendwa arusha,KITU CHA ARUSHA BALAA WOTE TWAKISIKIA! BORA MKUTANO WANGU UHUDHURIWE NA WENYE BUSARA 10 TU KULIKO WAVUTA BANGE 1000!

Tanzania yangu nakupenda kwa moyo wote, lakini mbona watu wako wamekengeuka kama huyu ndugu? au ndo justification ya Nape na Chiligati kukosa watu huko singida? au ni utetezi wenu wa kukosa watu? mimi sio mwana-fasihi, lakini kitu kimoja ni dhahili kutokana na ulichoandika hapo juu, wivu na kukata tamaa, ungetamani uwe na watu wengi katika mikutano yako (nahisi wewe ni mmoja wa wanaofanya ile mikutano ya kujitambulisha) lakini umekosa, pole. Lakini usitukane watanzania wenzako kuwa ni wavuta bangi kwa jinsi tu wanavyooneka, hali ya nje, lakini utu wao uko hai na safi, ndo unaowatuma kwenda kwenye mikutano ya CDM, nimejaribu tu kuwaza kwa sauti.
 
Duh,kama ni kweli basi CDM iwahimize hao wavuta bange wajiandikishe kupiga kura vinginevo 2015 yatatokea yaleyale ya 2010.na wataishia kuja na misamiati mingine kama huu wa kuchakachuliwa.

WAVUTA BANGE PEOOOPLEEE....powaaaaaa.
 
Duh!!!,sasa hapa ndio Watanzania waone akili za watu walio ccm,yaani wana akili fupi Kama mkia wa mbuzi.Sasa kama huyu jamaa ndio kapost nini humu?
 
Kwenye kundi la watu wanaohudhuria mikutano mikutano ya chadema siwezi nikaita ni umma! Sababu ni kwamba hakuna uwiano sawa wa makundi ya jamii kama wanawake,wazee,vijana,walemavu etc! Ninaowaona kwenye mikutano ya chadema wengi ni vijana,tena ni wale vijana jobles and mapepe flan yaani wazee wa kulanduka! I can say chadema sio chama cha nguvu ya umma bali ni nguvu ya wavuta bange,si mnaona chadema inavyopendwa arusha,KITU CHA ARUSHA BALAA WOTE TWAKISIKIA! BORA MKUTANO WANGU UHUDHURIWE NA WENYE BUSARA 10 TU KULIKO WAVUTA BANGE 1000!

Dharau na mienendo yenu ya kuwaangalia wananchi chini kama takataka ndivyo vinawasumbua nyie mafisadi na watoto zenu. Kama kuna wananchi wa makundi ya vijana au wazee hao wao sio wananchi muhimu kusikia viongozi wao? Unataka kusema kikwete anawakilisha wanawake Tanzania au ni mashangingi?

Thread kama hizi ndizo zimeua chama cha ccm huku jamvini na naomba keep it up na waambieni tbc na dairy news wa-copy hii thread na kuuza mitaani... tukaneni mpaka mtakoona wanataka kuwavua ikulu.. hawa ndi watanzania hata kama mnawakataa...
 
Tolwisk,
Ujifunze kwamba, hao unaowaita vijana, jobless, wavuta bangi ni Watanzania. Na kwa kuwa ndiyo population kubwa kuliko wale unaowaita wenye busara ndani ya TZ, ufahamu kwamba ccm imetengeneza taifa la hivyo. Hiyo ndiyo population kubwa ya Tanzania ambayo inahaki ya kuishi maisha bora. Wewe kama umekuwa madarakani halafu unatengeneza population ya watu wasio na mwelekeo, huoni kama ni failure na aibu kubwa? Na wewe bila haya unaonyesha kuwabagua kwani hao walizuka? Kwa nini usiende hatua moja mbele kujua kwa nini sasa kuna wa TZ wengi hasa vijana ambao ni nguvu kazi kubwa lakini hawana cha kufanya wala matumaini katika maisha? Kundi hilo ndio wananchi wa TZ wanaohitaji ukombozi. Maana mmewatengeneza, na sasa mnaonyesha kuwabagua na kuwaona hawana hata haki mnafikia hatua ya kudhalilisha utu wao na kuwaona hawana maana!.

Hallow, kama ndivyo ilivyo, wewe na hao unaowaona wenye busara tuachieni nchi yetu na vijana wetu mlio waharibia maisha tuumbe Tanzania mpya isiyo na ubaguzi wala udhalilishaji kwa kuangalia matabaka. Tunahitaji kuwa na Tanzania isiyo na ubaguzi. Acheni kuamsha hasira za wa Tz. Baada ya kuwajengea maisha mabovu sasa mnaanza kudhalilisha utu wa maskini wa Tz bila hata aibu!. Acheni kabisa!
 
^ sasa mnailamu CCM kuwa inahusika na vijana wenu kuvuta bangi?
 
CCM watuachie nchi yetu. Hatuwezi kuvumilia kuona wanawadharau wa TZ wa hali ya chini wakati ni matunda ya ufisadi wao, mipango mibaya na matumizi mabovu ya raslimali za taifa. Hawa watoto waende wapi kupata haki zao? Nani awatengenezee mazingira mazuri ya maisha bora na elimu kama siyo serikali? Baada ya kuwapuuza, kuwabeza, kuwaibia, kuwahujumu, sasaa mnaanza kuwabagua na kuwadhalilisha! Hii hali haivumiliki hata kidogo!.

CCM ONDOKENI HATUWATAKI.
 
Back
Top Bottom