Walimu UDOM waikataa CWT

SILENT ACtOR

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
627
181
Jamani CWT sasa wajirekebishe. Vuguvugu la kukikataa leo lilihamia kwenye press conference ya walimu UDOM ambapo baadhi ya sababu zifuatazo zimetolewa: Makato makubwa pasipo huduma 2.uanachama wa lazima 3.chama ni mali ya watu wachache wanaodaiwa w/chama hawajui chochote kinachoendelea. 4.chama hakina malengo/future. 5.uswahiba wa CWT na serikari ya CCM hautoi matumaini yoyote ya maisha bora kwani taasisi zote hizo hazimjali mwalimu. -ITV watarusha.
 
Siwalimchukulia Fisadi Kikwete Form kwa kuwatuma wanafunzi wao, vipi sasa wamegeukiwa?
 
Hao UDOM si ndo waliokwenda kutafuta sahihi za wadhamini wa JK sasa shida yao nini wamfuate huyo jamaa (JK) ili awasaidie kama walivyomsaidia yeye. Teh Teh Teh !!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kweli cwt ni kero makatibu wanakula posho to na wamenunuliana viescudo kila wilaya kwa makato yetu nyaambafuuuu
 
kwanza sheria ya kuingia uanachama wa chama hicho ni kandamizi.Eti kila anayeingia kazi ya ualimu automatically ni mwanachama. wanakata bila idhaa yake. Huo ni uhuni.
 
Sipati picha. Wanataaluma wa chuo kikuu wanataka kuingia CWT kwani wao ni waalimu? Mimi ninachojuwa, wanataaluma wa Chuo kikuu wanaitwa wahadhiri, na misingi ya ajira yao ni tofauti, na matatizo yao ni tofauti na wanchama wa CWT. Hata hivyo, wahadhiri hawahitaji chama cha wafanyakazi, (Collective bargain). Shida zao huwa zinaishia juju kwa juu. CWT bwana, inaleta mambo ya mwaka 47 kwenye karne mpya.
 
Kaka nadhani watakuwa ni wanafunzi wa Education wanaojiandaa kwenda kufundisha shule za kata!
 
Back
Top Bottom