Wanajeshi wa JWTZ kambi ya Kaboya wamevamia kijiji cha Mayondwe(jirani na kambi) na kufyeka mashamba ya mazao.Zoezi hilo wamelifanya jumatatu alfajili na jana asubuhi wakisombwa na magari yao na wameacha kilio kikubwa kwa wananchi .Sostenes Mushumbusi ni miongoni mwa waathirika.