Wananchi wa Kwimba poleni sana

LWAKAPISI

Member
Mar 31, 2011
46
4
sasa hivi bungeni yupo anachangia mhishiwa mansoor mbunge wajimbo la kwimba,anaunga hoja ya ngereja mkono,lakini maelezo yake anasema kati ya kata 15 zilizopo jimboni kwake ni moja tu yenye umeme,hivi kweli huyu ni mbunge au shati,ila sishangai sana maana ccm wengi wapo vile.poleni wanajimbo la Kwimba
 
  • Thanks
Reactions: LAT
nimemsikiliza huyu mh. mansoor yaani nimestaajabu mpaka nimecheka

kilaza full time
 
Back
Top Bottom