Kuanguka kwa Dr Slaa

Join Date : 11th February 2011
Posts : 140
Thanks1
Thanked 17 Times in 14 Posts

Rep Power : 21
 
A lose Dk Slaa, leo nimemuona kwenye TV anaongea na wanafunzi wa vyuo yaani yupo mkiwa sana! dhambi ya pesa za wananchi (Ruzuku) kufanya maandamano kisha wanagawana posho, naona inamtafuna na bado mpaka kieleweke
Miongoni maw vipofu na viziwi ni wewe labda magamba yamekupofusha anayekula pesa za wananchi ni Nape kuwa Mkuu Wa wilaya na kuwa Mkuu magambani.
 
1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo 2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasahali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho3.hata thread za kumuhusu yeye nw hazina mvuto kama zamani wachangiaji wachache sana.
you barking dog, angalia ni wangapi wanausapot na wangapi wanaupinga upuuzi na ujinga wako uliouonyesha kupitia thread yako, na hapo ndio utajua ana wafuasi kiasi gani.
 
A lose Dk Slaa, leo nimemuona kwenye TV anaongea na wanafunzi wa vyuo yaani yupo mkiwa sana! dhambi ya pesa za wananchi (Ruzuku) kufanya maandamano kisha wanagawana posho, naona inamtafuna na bado mpaka kieleweke
Kama kuna dhambi ya kuwatafuna kwa matumizi mabaya ya fedha za wananchi magamba kuna atakayepona kweli?! Kila mnachosema ni hatari kwa magamba na sio cdm wala Slaa
 
teh teh wengi wenu dhiki ndo zinawasumbua msiilaumu ccm walaumuni wazazi wenu ndo walikuwa wazembe kutokuwa na elimu ndo mana mpo hapo saivi mnabwabwaja mkiamini padri may be atawakumbuka kwenye ufalme wake
nani alimuambukiza ujinga mwenzie baba au mama yako, unasomeka kuwa mjinga mara mbili yao.
 
Jaribu wewe na wenzako kuficha upumbavu wenu .Then mnalia lia JF ni Chadema kumbe mnakuja hamna hoja . Slaa si mtu wa kusema hovyo .Atasema muda muafaka . Yaani Chadema watake posho iondolewe leo tena iwatese ? Kweli wewe akili zako zinakutosha mwenyewe.
nawasiwasi na hilo bichwa lako wewe unazani cdm wote wameafiki swala la posho? Unajua kwenye kikao chao golden crown hotel yaliyotokea? Mh kama hawaitaki mbona hadi majuzi mbowe mwenyewe alisaini kuichukua?
 
Wewe unakanyagwa,watu tunalia mgao masaa24 wewe unareta utani Humu? Nenda kamwambie NEPI amshauri ngeleja ajivue gamba.mji mzima giza we unaanza reta mambo ya Kum Dis dr? Narudia tena mtoa thread unakanyagwa.
teh teh kwasababu wewe unakanyagwa sana ivyo unazani wote wa type yako umeme tukiujadili humu ndo mgao utaisha?
 
1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo 2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasahali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho3.hata thread za kumuhusu yeye nw hazina mvuto kama zamani wachangiaji wachache sana.
Always small mind talk about people...Ungekuwa na akili kidogo ungetumia muda uliotumia kuandika hii thread kuishauri serikali ya JK.
 
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza, hapa pesa ipo mingi, hapana jiuliza leo nile nini, hapa jiuliza pia maisha magumu, ni mtu iliyotulia, ila inahitaji kulea watu kama nyinyi mnao kimbilia kwa Nape awanyweshe awalishe

Umeona hapa ndio sehemu ya kutangazia pumba zako, kama ni hela ungekuwa unapelekeshwa na siasa za ki hitler?
 
Na yule kiongozi wenu wa chama cha magamba aliyewahi kuitwa "mkombozi wa Watanzania" "Chaguo la Mungu" akaingia kwa gia kubwa ya "ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya" huwa anavumia wapi siku hizi? kwenye mabembea ya Ikulu!?

Kiongozi wa magamba asiyeweza kuongoza, nchi ipo katika auto pilot. Hakuna maamuzi kama kiongozi.

anapenda tu fitina na hadaa.

aliwaifitini SAS na kuwahadaa watanzania ili achaguliwe ale na mafisi. 2010 akachakachua kura

Kweli ccm mmetumwa jamii forum,maana siku za nyuma hakukuwa na baadhi ya watu wenye mawazo mgando vile,dr slaa kama kaanguka basi jk kafa kaoza na harufu haipo tena,kilichobaki hata kichaa akija akawaambia nipe nafasi nitaokoa chama mnampa kama mlivofanya kwa nnape
 
Wewe Hoja kama hii ungejadili na dadazako home na wengine barazani kwenu siyo hapa! Naomba uniambie Maisha bora Kwa kila Mtanzania iko wapi leo angalau tujikumbushe! Huoni kama ccm inaongozwa na hoja na sera makini za CDM? Usije hapa na hoja dhaifu kama hizi!
 
Na yule kiongozi wenu wa chama cha magamba aliyewahi kuitwa "mkombozi wa Watanzania" "Chaguo la Mungu" akaingia kwa gia kubwa ya "ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya" huwa anavumia wapi siku hizi? kwenye mabembea ya Ikulu!?

Naogopa kuchangia nisije nikapigwa BAN mara miezi mitatu out.
 
Taarifa uliyoleta iko sawa kwa mtu mwenye tumbo lenye njaa lakini si kwa yule anayefikira kwa kichwa, crap
 
Hata akifa, kazi ya kukomboa Tanzania sio yake peke yake, tuko kina Dr Kama millioni Moja hivi, kaaa tu tayari hayo magamba yako yatangoka yenyewe 2015.
 
Lakini kaka tuzungumze ukweli,chadema inaipeleka spid CCM,na slaa alisaidia sana kuiinua CDM na nafikir CCM inammind sana dogo kwa sababu ndiye aliechangia sana kuiinua CDM,kitu kinachosaidia chadema hawakurupuki wanatumia akili zaidi
 
Nepi puppet at work, How many are you in this forum? try had @CHIEF M
Join Date : 28th May 2011
Posts : 19
Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 0

Slaa mbona hata u class monitor hatoshi, kiongozi wa maandamano tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom