Recent content by lusembamajula

  1. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I need husband

    Weka namba ya cm au mawasiliano private co public namna hii kama uko sirious kwan swala lenyewe ni sirious nakwanza linaitaji confidentiality
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hizi post za ualimu,zitanitenganisha na mke wangu mtarajiwa!

    Kuwa mvumilivu na muaminiane mtafanikisha njozi zenu
  3. L

    JamiiForums Tanzania Vodacom kweli ni wezi sana comfirmed

    Jaman jf nilidhan ni mimi tu nawakati mwingine nilidhan makosa ni yangu kweli voda ni wezi mm nimeshanunua line ya baba lao
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea interview ya pccb ndani ya sabasaba.

    Jaman naomba kuuliza MMU ndo mtandao gani
  5. L

    JamiiForums Tanzania Aibu.. Msigwa ahutubia watu kumi kwenye mkutano Iringa. Watu wa Iringa waikataa CHADEMA

    Mbona huyo Msigwa mwenyewe haonekani tutaamini vip kua ulikua ni mkutano wake
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Nawapongeza wadau kwa ushaur mzuri mluompa huyo mwenzetu nilidhan wengine wataanza kumponda,thax and all the best
  7. L

    JamiiForums Tanzania Uraia wa waTutsi !

    Jamani kwa mtizamo wangu coni kama ni mda muafaka wa kukumbushana mauaji ya kimbali kule rwanda tuwaache wanyarwanda waijenge nchi yao izi ideologies za hutu na tutsi tuziache na afrika isongembele
  8. L

    JamiiForums Tanzania SWALI: Mkoa gani Tanzania ni mzuri kwa kuishi?

    Nakubaliana na wewe
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake wanene ni watamu kimapenzi kuliko wembamba (vimbaumbau)?

    Huo ni mtizamo wake sio general rule.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Simba ndiyo baba lao hapana chezea mnyama

    Hongereni wachezaji pamoja na bench la ufundi la simba kwa ushindi mnono,simba oyeee ila rage tuachie timu yetu we nenda kwenye siasa mdanganyane vizuri
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania !! Nimelimwa Notes: Mke wangu analipuliza !!

    Pole ndugu izo ni xhangamoto za maisha
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kigali, Kigali, Kigali ....Jamani nini hii??

    Jamani mbona mnaniacha njia panda kwani kunanini kigali?mbona uyo ndugu anapadic
  13. L

    JamiiForums Tanzania Top Universities in Tanzania 2013 List of top universities in Tanzania, United Republic

    Unajua tatizo ni mfumo wa elimu tz ulivyo hoja zenu zinanikumbusha maisha ya sec kwa kua hazina mashiko comptence ya mtu au chuo upimwa kulingana na how competence he/she is kwa ujumla ni product ya chuo ilivyo.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Prof. Anna Tibaijuka: Kwaheri ya kuonana Mzee Madiba

    Sasa nanyie viongozi wa kiafrika kuweni wazalendo na wakweli kwa kuwatumikia waafrika ili kumuenzi mzee wetu na kiongozi wetu wa afrika mzee madiba
  15. L

    JamiiForums Tanzania Maiti Akutwa na Kete 65 za dawa za Kulevya mkoani Mbeya...

    We ni kakajambaz yup? Ni yule wa nakuru kenya 2010
Back
Top Bottom