ndani ya mwez unapata gari lako,cha muhimu ni kuangalia mileage(km) sio unaagiza gari lina km laki moja au elfu tisini..ukipat la km kuanzia elfu 20 had 60 sio mbaya
ila kwa m7 hat ukipat passo yenye km elfu sitini had sabini sio mbaya,pia ni vizuri ukaulizia na cc(ukubwa wa injini),magari kama vits,passo,carina na mengine madogo madogo uwa cc zake sio kubwa ni kuanzia 900 hadi 1500 ambayo ulaji wake wa mafuta ni mzuri pia hat ulipaji wa bima na load licence inakuwa nafuu kama gari yako ina cc dog.nivumilie kwa maelezo mafupi mafupi,
na vipi kusuhu mwaka unanishauri nichukue la kuanzia mwaka gani?
Sorry ni mwaka elfu mbili(2000)vizuri,kuanzia mwaka 2000(elfu mbili) kuja mbele mkuu,
Ndani ya mwez unapata gari lako,cha muhimu ni kuangalia mileage(km) sio unaagiza gari lina km laki moja au elfu tisini..ukipat LA km kuanzia elfu 20 had 60 sio mbaya
Habar jf naomba kujua nimeona gari at carview wauzaji wa magar Japan wanasema FOB price ni 100$, shiping to Tz ni 1247$, nimeuliza kuhusu CIF, Clearing and fowarding na insuarance sijapata jibu, pia vipi kuhusu cost za TRA huku kwetu, naomba msaada wenu naweza tumia wastani gharama gani hadi gari kuwa mikononi mwangu.
naomba kufahamishwa namna ya kucalculate kodi kama nikinunua gari used toka japan. mfano gari ya mwaka 1998 cfi $ 980.