!! Nimelimwa Notes: Mke wangu analipuliza !!

ndio maana nikasema ni long story sema nimeifupisha
Btw Huyu alikua mpangaji mwenzangu nilivyokua college maeneo flani..

kwenye mkataba kuna kipengele kinachokataza ku"smook" weed?
Hiyo familia duu baba chapombe mama chaweed sijui mtoto atakuwaje!what a wonderful family!
 
I swear kama ungekua jirani au shoga yake ningesema wewe ndio unamshauri maana majibu yake ndio kama yako.
" Hii ni starehe kama starehe zingine na wewe ukitaka vuta".
Btw mi sina neno.. tatizo mimi najifanyaga ticha nkirudi kwenye mishe zangu huwa kuna madogo wa advance nawapiga kitabu.

Who knows labda tuko group moja.
 
Habari wana JF, Shikamooni wana MMU.

The beautful wife of mine smook weed.
Jamani juzi kati nimembamba mke wangu akiwa analipuliza. Tena alipo niona wala hakushtuka
kwa mapoozi akaendelea kulikoka.. ahh! mi nikazani sigara kwani huwa anapiga siku moja moja
anadai inaondoa stress na kwa sababu nilikua tungi nikazama ndani.
Leo nimepewa notes na baba mwenye nyumba kwa mke wangu kuvuta bangi hadharani (Ila hii sio ishu nitamalizana nae).

Mke wangu nikimuuliza anasema mbona wewe unakunywa?.. Kwani tatizo nini?...

Story ni ndefu sema nimeifupisha.

............nahisi na wewe pia unalivuta, maana nikisoma maneno ya Avator yako yamekaa kibange bange tuu !:shocked:
 
hongera upo juu

avatar83964_10.gif.jpg avatar83964_10.gif.jpg

Na akivutaga huwa anacheka tuu hata nikiwa serious.
 
kwenye mkataba kuna kipengele kinachokataza ku"smook" weed?
Hiyo familia duu baba chapombe mama chaweed sijui mtoto atakuwaje!what a wonderful family!

Mbona baba yangu alikuaga someoe na mimi ni another one?.
 
Kataa ukubali mpaka hapo kwa watu wenye fikira pama tumegundua huyo mke wako mlikutana sehemu za Anasa!!
 
Marhaba kijana hujambo? mimi kaka yako nimeshindwa kuelewa hayo maandishi ya rangi nyekundu

Weed means bange andaa kikao na wenye nyumba na mke wako na kiongoz wa mtaa kama umeoa na ndugu zake muombe radhi mama mwenye nyumba mke wako mpe notce ya wiki mbili aspoacha achana nae kama wewe upo sriaz na maisha cz apo hauna mke je watoto atawafundsha nn ngumu kumeza bt meza hvyohvyo dawa chungu ndyo dawa
 
Bangi ni tiba, na ni nzuri. Mimi nilikuwa naikoleza, lakini nikaiacha. kwani kila nilipokuwa naikoleza, nikipita chini ya nyaya za umeme wa Tanesco, lazima nilikuwa nainama. Nikaona isiwe tabu hapa, Ha ha ha !.
 
Habari wana JF, Shikamooni wana MMU.

The beautful wife of mine smook weed.
Jamani juzi kati nimembamba mke wangu akiwa analipuliza. Tena alipo niona wala hakushtuka
kwa mapoozi akaendelea kulikoka.. ahh! mi nikazani sigara kwani huwa anapiga siku moja moja
anadai inaondoa stress na kwa sababu nilikua tungi nikazama ndani.
Leo nimepewa notes na baba mwenye nyumba kwa mke wangu kuvuta bangi hadharani (Ila hii sio ishu nitamalizana nae).

Mke wangu nikimuuliza anasema mbona wewe unakunywa?.. Kwani tatizo nini?...

Story ni ndefu sema nimeifupisha.

mi sioni tatizo kabisa hapo,nachokiona ni kwamba nyie wote ni wanamme ndani ya nyumba,hakuna mwanamke wa kuweza kufuata maelekezo ya mumewe.
 
Back
Top Bottom