Recent content by Lung'wando

  1. L

    Hii ya Lowassa imekaaje?

    Hata kidogo.... Kumuita Waziri mkuu si sawa. Na kumuita Waziri mkuu aliejiuzulu inakaa sawa tu. Labda kwako haijakaa vizuri.
  2. L

    Gazeti la Uhuru laandika; Wazee wa kimilia Arumeru Hawataki Kumuona Lema!

    Mimi naona hao Wazee wanafikiri kwa kutumia.................... Badala ya kichwa
  3. L

    Majeruhi wa ajali ya Regia afariki dunia

    Na bado. Hadi Wagonjwa wote Wodini wasambaratike. Haiwezekani Mabwege wapate Posho zaidi.
  4. L

    CCM, tafadhali lisafishenil eneo la uwanja Kirumba, mlilpopikia

    Basi unadhani pilau hadi leo limo tumboni?
  5. L

    Familia ya Jitambue Popote Mlipo

    Bila shaka waliokuwa wakitoa Makala za Utambuzi wapo. Wajitokeze. Baadhi nawakumbuka kama Guru Francis. Shabani Kaluse, Haroun Janah, Stella Kamitu, Amri Gembe, Juma Yona na Asha Mkindi. Hawa woote walichangia kutoa Makala ktk Jitambue. Wako wapi? Kwanini wasikutane wakakubaliana kurudisha...
  6. L

    Kwa familia ya jitambue

    Mmoja wa wana JF ametukumbusha ule wakati tulipokuwa tunasoma Elimu ya Utambuzi kupitia Gazeti la Jitambue. Lilitolewa na TK Media. Baada ya kifo cha Munga Tehenan, gazeti nalo likapotea. Hata hivyo nina hakika kwamba Wanachama na Watanzania wengi wamesikitika sana kulikosa Gazeti hilo. Naomba...
  7. L

    Familia ya Jitambue Popote Mlipo

    Dah!! Umenigusa paleple. Nimekuwa Mwanachama wa Miaka yoote. Lakini Kifo cha Munga kimetupokonya Mtu muhimu sana. Gazeti JITAMBUE lilitoa faraja kwa wenye Msiba, wenye shida na kila nyanja ya maisha. Lilitufanya tukubali hali halisi ya maisha tuliyonayo kwani lilitupa moyo. Niliwahi kumuuliza...
  8. L

    Press Conference ya Kova, ni halali?

    Ngojeni kidogo...kidogo tu... Huyu Jamaa Kova ni yule aliyewaweka mbele ya kamera wale jamaa waliokamatwa na Muro akatuambia ni Matapeli na ni wa kuogopwa sana... Lakini mwisho wa siku wakaachiwa huru na Mahakama.
  9. L

    Gazeti la Mwananchi na Habari ya Kiudaku kuhusu Dr. Slaa.

    Hebu tutulie. Tusubiri tuone kwenye Msiba wa Sumari. Je wote watahudhuria kumuaga na kumzika?
  10. L

    Serikali ya JK na Mkakati wa Kilimo Kwanza- PowerTiller

    Pita pale Dodoma uone namna yalivyorundikwa. Yanapauka na jua tu.
  11. L

    Askari Polisi Shinyanga,walificha gazeti la UHURU!

    Aaaaa!!! Dah!! Hili nalo jipya. Huyu RPC mbona ana hatari? Kwani nawe ni mmoja wa waliopigwa Picha? Funguka!
Back
Top Bottom