Kwa familia ya jitambue

Lung'wando

Member
Dec 11, 2011
43
4
Mmoja wa wana JF ametukumbusha ule wakati tulipokuwa tunasoma Elimu ya Utambuzi kupitia Gazeti la Jitambue. Lilitolewa na TK Media. Baada ya kifo cha Munga Tehenan, gazeti nalo likapotea. Hata hivyo nina hakika kwamba Wanachama na Watanzania wengi wamesikitika sana kulikosa Gazeti hilo. Naomba kwa yeyote mwenye kuwa na habari yoyote kuhusu kurudi Gazeti hili atufahamishe. Tumekosa Elimu ya Utambuzi kwa muda mrefu sasa.
 
Yule mwamba alikuwa noma na hatotokea, aliniambiaga ukiona ndugu wanagombea maiti kuizika Basi ujue Hawana akili, maiti ni mZoga Kuuzika ni neno la kistarabu, akasema Kama wanapenda kuzika, waende mahospital maiti zimejaa sana, akasema kuwa yeye akifa mZoga wake ukatupwe popote panapofaa
 
Back
Top Bottom