Recent content by Lukub

  1. Lukub

    JamiiForums Tanzania Kajala: Siyo kwamba hakuna wanaume wanaonipenda, ila nikiwa na Harmonize nakuwa na amani

    hauwezi kufukuliwa ukapiga squart uhalo hauzuiliki wakui,squart haidanganyi ukipiga nati zimelegea panafunguka🤣🤣🤣🤣🤣
  2. Lukub

    JamiiForums Tanzania Mahakama: CAG hawezi kuondolewa Madarakani kwa Utashi wa Kisiasa au Ukomo wa Muda wa Bunge

    kuna inavyotakiwa kuwa na ndivyo ilivyo ,mfano wewe ndio CAG mamlaka ya juu kabisa ya nchi inakwambia andika barua ya kujiudhuru Kwa sababu ya ugojwa na kishindwa kufanya majukumu ya kikatiba utakataa?
  3. Lukub

    JamiiForums Tanzania SIMBA TAYARI WAMESHAFUNGWA KABLA YA MECHI

    wewe ni mjinga (sio tusi)ndio ukweli ujinga wako ni mdogo simba ndio mwenyeji wa mchezo, kukaa kimnya ukiwa mgeni yanga alijifunza Kwa simba ilifika hatua wanalalamika wao wakiwa wenyeji simba wanakuwa kimnya sana utafikiri hawachezi derb ,kama sio mwenyeji hakuna haja ya kutamba kumnufaisha...
  4. Lukub

    JamiiForums Tanzania Polisi yawadaka Wezi wa kwenye Magroup ya WhatsApp ya C2203 VDC Dawn, VBCL Business Company Ltd, Fine Modern Homes na Fine Group of Companies

    Maji ya mwamposa ni Ibada Kwa wanao tumia na yanauzwa buku usilete ulimbukeni wa double standard kama ilivyo Kwa wakatoliki rozali au unavyoamini dawa za kisuni zinaponya ndivyo maji ya mwamposa yanaponya Kwa wanao amini tafadhali ficha ujinga wako,unachokiamini sio kila mtu anaamini ,kivipi...
  5. Lukub

    JamiiForums Tanzania Tanzania kukoje? Sasa kilichopandisha bei ya bia ni kitu gani?

    unakunywa utamu wa Serengeti lemon Kwa 2000 hapana iongezwe kabisa
  6. Lukub

    JamiiForums Tanzania Bei za ATCL hazitakiwi kupishana sana na za mabas kama njia ya ATCL kupata faida

    mara kibao dege la watu 200 tunakuwa 28 mpaka wadau wa economy tunaenda kukaa first class maana hakuna abiria 🤣🤣🤣
  7. Lukub

    JamiiForums Tanzania Polisi yawadaka Wezi wa kwenye Magroup ya WhatsApp ya C2203 VDC Dawn, VBCL Business Company Ltd, Fine Modern Homes na Fine Group of Companies

    usiandike nusu nusu malizia nje ya misikiti kumejaa Mafuta aina mbalimbali utaambiwa zeituni,rose ,karafuu bei ni kubwa mara kumi kuliko buku ya Maji ya mwamposa,utakuta vumbi linauzwa mara 20 ya mafuta ya mwamposa,nimesahau vipi misalaba na visanamu vinavyouzwa nje ya makanisa na vifaa vya...
  8. Lukub

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini: nchi ilyoinuka kutoka kwenye majivu na kuishangaza Dunia

    nchi nzuri ambayo ni haramu mtu kujaribu kuikimbia, hukumu ni kifo, pia kupata pedi tu Kwa wanawake ni kipengele ila Wana mabomu ya nyuklia😂😂😂
  9. Lukub

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    nimesikitika sana jamaa kaacha Barcelona anashinda tu ,psv anatoa chuma mbili kila game,pirates wanashinda tu,Liverpool kocha wake ajapoteza game ya 20+ ,yanga anashinda tu ,simba anashinda tu,PSG kila game anafunga goli,intermilan anafunga goli kila mechi , yaani ukiweka Hela unapata viwanja na...
  10. Lukub

    JamiiForums Tanzania NIINI KIFANYIKE KUSHIBITI WEREDI WA SPORTS PUNDIT TANZANIA

    uchambuzi ni maoni tu ,ingekuwa unawasikiliza wakina Paul scholes na genge lake basi hawa wa bongo Wana afadhali .Uchambuzi ni maoni tu kila mtu anayo yakwake sio utalamu wala ujuzi .
  11. Lukub

    JamiiForums Tanzania Hii ndio adhabu inayopaswa kupewa hawa matapeli wa soka

    na mwaka huu wanalichukua wako serious sana
  12. Lukub

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa mabasi wanapaswa kuwafukuza kazi madereva wote walio gomea kuendesha magari yao

    Ndg madereva wa mabasi wanajuana Kwa majina kama walivyo madaktari wa mifumo ya fahamu na ubongo jiulize wapo wengi au wachache .
  13. Lukub

    JamiiForums Tanzania Itakuwa aibu Ureno wakishindwa kufika fainali na midfield ya Vitinha, Joao Neves na Bruno Fernandes

    Ni maajabu kusema Ufaransa alizidiwa uliangalia mpira ulisimuliwa? team anapiga come back na kukosa big chances nyingi Kisha inazidiwa ?
  14. Lukub

    JamiiForums Tanzania Kikosi bora cha Brazil cha muda wote hiki hapa

    Neno muda wote liondoe unatukera
  15. Lukub

    JamiiForums Tanzania FT: PSG 5 - 4 Bayern München | UEFA Semi Final First Leg | Parc des Princes | 28 Aprili 2026

    Hakuna goli buyern anaweza funga psg asifunge itaendelea kuwa funga ni kufunge mwenye uwezo wa kuzuia ndio atapita ni wote hawajui kuzuia ila psg ana kauafadhali
Back
Top Bottom