Itakuwa aibu Ureno wakishindwa kufika fainali na midfield ya Vitinha, Joao Neves na Bruno Fernandes

Itakuwa aibu Ureno wakishindwa kufika fainali na midfield ya Vitinha, Joao Neves na Bruno Fernandes

England amewahi kuwa na
Viungo kama

1. Michael Carrick.
2. Paul Scoles.
3. Steven Gerlard.
4. Flank Lampard.
U Man Utd na U Liverpool uliwaharibu km bongo usimba na uyanga, Uccm na Uchadema, mwanasiasa yupo radhi asijenge barabara au hospitali maana kisa ni ngome ya Upinzani...
Spain ndo kdgo wameweza kuishi nayo Hali ya U Madrid na u Barcelona jpo kwenye vilabu tifu kweli kweli na majigambo
 
Ronaldo angekaa tu benchi Kwa Sasa kuhamasisha timu
Kabisa!! Tatizo la ureno ni Ronaldo sawa na Ufaransa uwepo wa Mbape, Hawa jamaa ni wabinafsi sijawahi kuona hawachez Kwa ajili ya mafanikio ya timu Bali mafanikio Yao binafsi sawa na Neymar pale Brazil.
 
Pia zama za cr 7 zimeisha angekubali tu!
 
Brazil asha wahi kuwa na super x1, na bado hakufanya wonders.
Super 11 ya Brazil ni ile iliyochukua kombe la dunia 2002 dhidi ya ujerumani. Baada ya hapo Brazil ikaanza kushika mdogo mdogo japo bado ilikuwa na majina makubwa!! Leo ni wachache sana wanaoweza kuipa nafasi Brazil ya kushinda kombe la dunia!
 
Pia zama za cr 7 zimeisha angekubali tu!
Zama za CR7 hazijaisha ila zinaelekea kuishia!! Ndio maana watu na akili zao bado wanamlipa mamillioni ya dola! Bado ni mfungaji bora kwa timu yake na bado mchango wake kwa timu ya Taifa unahitajika sana! Ukimchukulia poa anakuliza fasta!
 
Ureno hii hii, ikiwa na wachezaji hawa hawa (tena miaka minne iliyopita walikuwa bado na nguvu za kutosha)! Halafu ikatolewa na Morocco kwenye hatua ya Robo fainali kombe la dunia lililofanyika Qatar (2022) na Morocco kuweka historia kwa timu za Bara la Afrika kuingia hatua ya nusu fainali; ndiyo ibebe Kombe la dunia!
 
Miss gani wakati walizidiwa, hata wakikutana tutawalamba tu, ufaransa ni mbio tu
Ni maajabu kusema Ufaransa alizidiwa uliangalia mpira ulisimuliwa? team anapiga come back na kukosa big chances nyingi Kisha inazidiwa ?
 
Brazil ubishoo mwingi, kila mchezaji anataka kupiga chenga ashangiliwe, kwa Ureno anayewafelisha sasa hivi ni Ronaldo, mpira una umri.
Umemaliza kila kitu.
Ronaldo anajiona faza sana mule, anajikuta sijui ni nani mule
 
Ni maajabu kusema Ufaransa alizidiwa uliangalia mpira ulisimuliwa? team anapiga come back na kukosa big chances nyingi Kisha inazidiwa ?
Uliangalia mpira wapi?? Mpaka dakika ya 65 Ufaransa walikuwa hawajapiga shuti on target lolote
 
Hivi mtu wa miaka 42 ataweza vip kukabiliana na vijana wenye umri wa miaka 18 ,19 hadi 20 kamaa sii kutafutiana lawama ni nini
 
Ni maajabu kusema Ufaransa alizidiwa uliangalia mpira ulisimuliwa? team anapiga come back na kukosa big chances nyingi Kisha inazidiwa ?

Kama wewe ni mtu wa mpira hebu niambie nani alimiliki ball kumzidi mwenzie?

Halafu huwezi kulinganisha soka la Argentina na ufaransa, ni kama ulingalishe (messi kipaji halisi) na ronaldo hard work) ni vitu viwili tofauti
 
Back
Top Bottom