Recent content by lukaku10

  1. lukaku10

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kweli uoga wako ndo umasikini wako nili cash out kwa kuhofia mechi moja tu ambayo ni chile vs uruguay kwa kuweka under 1.5 nikadhani haitotoka sasa imetoka nilikuwa nimpige 1.3m huyu
  2. lukaku10

    Hatimaye nimepata Galaxy M20

    Vip camera yake Sent using Jamii Forums mobile app
  3. lukaku10

    Muonekano wa simu janja mpya ya bei nafuu kutoka Samsung

    Oppo je? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. lukaku10

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    *Et wanasoka wenzangu* Hiv pique anaweza riadha na rash ford? Ter stegen atadaka chambua za martial? Kale ka jordi alba kanaweza fukuzana na lingard? Arthur melo amsumbue pogba,Kweli jaman?... Alishndwa mbape ataweza Suarez kweli kwa lindelof? Coutinho anataka kuja man u ,amfunge de gea si...
  5. lukaku10

    Wataalam wa Android, msaada wenu unahitajika hapa.

    Game launcher ipo mi lakini mimi naweza kurecord video au screen shot kwa game tu kwa izo app nyingine wafanyaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. lukaku10

    Wataalam wa Android, msaada wenu unahitajika hapa.

    Mkuu mimi mwenyewe nina s6 lakini iyo sehemu ya screenshot na screen record hamna kwangu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. lukaku10

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Eti utamwelezeaje hapa mwanao akakuelewa Kama de Gea Ali save apo[emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. lukaku10

    Nokia pie updates roadmap

    Chief mkwawa ivi izi android version kazi yake kubwa ni nini hasa katika simu. kuna kuwa na tofauti gani kati ya simu yenye android 7 na yenye android 8 au 9.na mfano kama unavo update simu kutoka android nane kwenda tisa kuna kuwa na vitu gani vinaongezeka? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. lukaku10

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. lukaku10

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal ni ile ile kilichoongezeka hapo ni VISIT RWANDA na kilichokosekana ni Giroud na Wenger tu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. lukaku10

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    100% tackles won 100% aerial duels won 82% pass accuracy 9 clearances 1 block 0 fouls Iceman [emoji3587] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. lukaku10

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    ARSENAL MNATUAMINISHA KABISA KWAMBA LUKAKU NI INIESTA [emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. lukaku10

    Dkt. Reginald Mengi kuja na simu janja za bei rahisi (IPP TouchMate), uwezo wa kukaa na chaji ni wiki nzima

    Iko kiwanda kitakua cha kuunganisha au kutengeneza simu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. lukaku10

    Je hivi E 2G 3G 4G na H+ utofauti wake ni nini?

    Ttcl izo 100 gbps unaekaje Sent using Jamii Forums mobile app
  15. lukaku10

    IPI simu yenye camera nzuri kuliko zote?

    Chief kwa mwaka Huu hio simu yapatikana huku tz na kwa pesa kiasi gani kuipata Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom