Je hivi E 2G 3G 4G na H+ utofauti wake ni nini?

Je hivi E 2G 3G 4G na H+ utofauti wake ni nini?

Maana yangu ni hii,

Speed anayopewa mteja ni ya rejareja, mtandao wa simu unakuwa na speed ya jumla,

Voda anaweza akawa na speed ya 1gbps kwenye cell yake kisha akaigawa mara 1000 kwa wateja 1000 na wakapata 1mbps kila mtu. Sababu wewe unapata 1mbps nyumbani haimaanishi eti na speed ya voda ni 1mbps.

Nimekupa link hapo juu ya TTCL hata ukitaka 100gbps unaekewa ni hela yako tu.

Na marekani 6mbps ni ndogo sana average broadband yao ni zaidi ya 90mbps.

Ttcl izo 100 gbps unaekaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni kawaida hata kina voda wanazo hizo speed sema hawakupi mtu mmoja yote wanatugawia kidogo kidogo.

Mfano dar nzima kuna wateja 100,000 na kila mtu anapewa mbps kadhaa unafkiri speed ya Voda ipoje?

Cable za chini ya bahari zinapitisha internet kwa speed hadi terabyte 60 kwa sekunde. Hivyo hio 91gbps ni ndogo sana, labda useme vile ni satelite internet maana hii nature yake ipo slow.

TTCL wana huduma hata ukitaka speed inayozidi 100Gbps wanakupa cheki hapa
MPLS VPN | TTCL
Mkuu 100 Gbps si almost capacity ya RNC?
 
Back
Top Bottom